DR GEORGE NANGALE ana Phd ya toka chuo gani?

DR GEORGE NANGALE ana Phd ya toka chuo gani?

mwanamasala

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2009
Posts
248
Reaction score
12
Namfahamu George,sasa ni mbunge anawakilisha tanzania Africa Mashariki.Niliposikia ana Phd nilishangaa!Wana JF mnajua amepata toka wapi?
 
Namfahamu George,sasa ni mbunge anawakilisha tanzania Africa Mashariki.Niliposikia ana Phd nilishangaa!Wana JF mnajua amepata toka wapi?

Sasa kama unamfahamu mbona unatuuliza sisi?
 
Wewe hujui jinsi jamaa wa SISIEM wanavyopenda kuitwa madokta kwa PhD feki. PhD yake ni kama ile ya Kamala, Nchimbi, Nagu etc. Pay a few quids and get it with no sweat.
 
Wewe hujui jinsi jamaa wa SISIEM wanavyopenda kuitwa madokta kwa PhD feki. PhD yake ni kama ile ya Kamala, Nchimbi, Nagu etc. Pay a few quids and get it with no sweat.

Huyu nae ni kilaza kama wana CCM wenzie kweye quotation hapo juu. Ilibidi atafute PH.D fake kabla ya kugombea ubunge wa Afrika Mashariki kwani alijua angepambana na wasomi walioiva; lakini kwa vile CCm ni chama cha mafisadi wabunge wao wakawachagua watu wenye degree fake yeye na mwingine aitwae Masaburi[ nae PH.D Fake] ndio wanaotuwakilisha kwenye bunge la Afrika Mashariki.
 
Back
Top Bottom