Dr h. Mwakyembe: Mikataba ya ticts na bandari ichunguzwe...

only83

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
5,343
Reaction score
2,527
Waziri wa uchukuzi Dr Mwakyembe ameagiza kamati ndogo aliyoiunda ichunguze mikataba ya TICTS na bandari kuona kama bado ina tija kwa taifa au la. Kumbuka kuwa moja ya wanahisa na wamiliki wa TICTS ni Karamagi aliyejiudhuru uwaziri wa nishati na madini baada ya kamati ya bunge iliyokuwa inaongozwa na Mwakyembe kugundua madudu makubwa sana kwenye mikataba mbalimbali.

Source: ITV habari
 
Kazi moja hakuna kulala, nadhani sasa nchi imeanza kukombolewa!
 
hapo naona Mwakyembe anajichanganya hakuna haja kuundia tume hilo swala tictis kwani sio geni kwa sababu yeye ni mwanasheria aangalie taratibu zilizotumika kuiongezea muda na kama akijiridhisha hazikufatwa avunje mkataba na pia ufanisi wake unajulikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…