Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 17,251
- 22,929
Dr Yuval Harari, mshauri mkuu wa mwanzilishi wa WEF, Dr. Claus Schwab, amesema bila aibu na kumung'unya maneno kwamba wanadamu wote kama ikiwa lazima wataangamia, isipokuwa "The Elite."
Dk. Yuval Harari anaingia kwenye vichwa vya habari tena kwa matamshi yake tata kuhusu hatima ya wanadamu kwa ujumla. Katika matamshi yake ya hivi karibuni kabisa, Yuval Harari anasema "Kutakuwa na watu wachache sana ambao watafanya maamuzi yote, hata kama hayatawanufaisha wanadamu wote. Kama hali itakuwa mbaya sana, Hararia nasema, wanasayansi watatengeneza Safina kama ya Nuhu kwa "The Elite," ili wajiponye na maangamizi yeyote yatakayowakumba wanadamu, huku wakiwaacha wengine kuangamia."
Maoni yangu ni kwamba
naomba Yuval Harari, Claus Schwab na bakers wao "The NWO Cabal," wajue kwamba yupo Mungu ambaye ni Mungu wao pia.
Huyu Mungu ni Mungu wa haki sana, ambaye hataruhusu jambo ambalo siyo mapenzi yake litendeke kwa watu wake. Ndiyo wanadamu wamemuasi Mungu, lakini bado ni watu wake!
Naomba Yuval Harari na watu wake wajue, kwamba kuna adhabu kwa yote wanayofanya. Lucifer asiwadanganye kwamba they will go away with it, they won't! A day of reconning is coming.
Tazama video chini umsikie akisema yeye mwenyewe.