Dr. Harari wa WEF aeleza hatma ya wanadamu

Conspiracy theories tupu na kuunganisha matukio, fear of unknown pia. Kiongozi utakufa natural death tu kwa magonjwa ya kuambukiza ya kama waafrika wengine boss au kwa uzee japo hatuna maisha marefu sana, hamna mtu ana shida na wewe mkuu. Kwanza value yako sidhani hata inafikia costs za kukuua hadi mzungu ahangaike na wewe! acheni kutisha watu tujenge nchi ya matozo!
 
Kwa mawazo yako mkuu,is population control necessary at all kama akina Malthus na the NWO wanavyodai?
Sioni population control kama kitu kibaya ila mahitaji,maamuzi na utekelezaji wake lazima ufanyike na nchi husika bila kulazimishwa na nchi za magharibi.

Kuna baadhi ya nchi bila jitihada za kupunguza au kuongeza watu unaona kabisa zinaenda kufeli. Mf, Rwanda wapo m.12 wakizaana hadi kufika milioni 50 wataishije na nchi yenyewe ndogo? Mfano mwingine ni Urusi, sasa hivi wanahangaika kukuza population yao ili iendane ukubwa wa nchi yao na rasilimali walizonazo. Japan pia hawazaani vya kutosha kukidhi mahitaji ya rasilimali watu kwenye viwanda vyao kwa miaka ijayo.

 
Hakuna anaejua ghaibu(future) isipokua alieumba future
Huyo ni mtabiri kama wale wa utabiri wa haliyahewa(she yahaya)
 
Ndio watafiti wanajitahidi kuhangaika kuhamia sayari ya mars na wamepeleka mimea kama mpunga, mahindi, ngano kupanda huko maana wale wachache elites ndio wataelekea kuishi huko huku wengine Duniani wakizama baharini au kufa kwa ukame mkubwa watu washajua nini kinafuata sasa sisi tunaoishi bila kujua what is next tuendelee kuganga hivo hivo
 
Wako sawa, tena ukiangalia vizuri utagundua hii dunia ingekuwa eneo bora zaidi kama binadamu wasingekuwepo kabisa. Nchi inapaswa iwe na watu wachache wanaojielewa.
Mkuu mbona kama unajichanganya ( dunia ingekuwa eneo bora zaidi kama binadamu wasingekuwepo kabisa) halafu tena ( Nchi inapaswa iwe na watu wachache wanaoijielewa). Hiyo nchi inakuwa ktk tayari IPI?. Uhai wa mtu hautakiwi kuchezewa. Hivi ukichaguliwa ktk kundi la wasiojielewa ili wapunguzwe utakubali?
 
Hakuna anaejua ghaibu(future) isipokua alieumba future
Huyo ni mtabiri kama wale wa utabiri wa haliyahewa(she yahaya)
Soma Ufunuo 6-16 uone hatma ya Wanadamu kama Mungu mwenyewe alivyo ruhusu.It is so terrifyijg.Mungu alishawaruhusu Shetani na minions wake wawashughulikie Wanadamu.It is our fault.Tungemtii Mungu,Mungu angetulinda,sasa ameruhusu Shetani awashuhulikie watu ambao wamekataa kumtii.Soma pia Warumi 1:18-32.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…