Dr. Hezekiah Kamuzora

Yo Yo

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2008
Posts
11,210
Reaction score
1,720
Tuanpoongeela ma celebrity huyu ni mmoja wapo sio wakina anty nani sijui na visichana vya dar vyenye dram ya kudaka wazungu.......

Inasemekana Kamuzora ndie aliegundua microwave....inasemekana watasha wanabana.....sina hakika......

....Yupo wapi Dr Kamuzora?
 
Karibu sana mpwa ingawa umefichwa saaan nini kulikoni?

Hongera Dr. Kamuzora tatizo bongo huwa hatuna tabia ya kuwakumbuka watu kama hawa
 
Karibu sana mpwa ingawa umefichwa saaan nini kulikoni
mpwa nilikuwa fukweni brazili salamu zenu nyingi toka kwa mpwa wenu Brazameni kalowea uko
Hongera Dr. Kamuzora tatizo bongo huwa hatuna tabia ya kuwakumbuka watu kama hawa
Dr Kamuzora hatajwi katika watu mashuhuri au kwaku sio mwanasiasa.....tz bana michosho..
 
Ni Kamuzora wa VC wa Mzumbe University au kamuzora yupi???
 
Hili JEMBE ndio kwanza nalisikia leo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…