Dr. Hildebrand Shayo

habari za kuaminika za hivi punde zinasema kwamba, Dr. shayo (US blogger) a.k.a Kawawa ndiye yule aliyemvamia mashaka kwa michuzi. Habari hizi zimepatikana baada ya Daktari kutuma barua pepe kwa bahati mbaya au nzuri kwa mtu ambaye hakuwa mlengwa

Habari hizo zimeendelea kusema kwamba, shayo amejigamba kwamba mdahalo kati yake na mashaka lazima ufanyike kwa sababu tayari wanahabari wake wameanza kumfatili mashaka ili kumshawishi kushiriki.

Mzee mzima dakta, pia ameonyesha shauku ya kugombea ubunge katika bunge lijalo

Kama hizi habari ni za kweli, basi jamaa takuwa amejidhalilisha sana.
 

inawezekana,sababu inaonekana huyu mtu aliyemjibu mashaka...ni mtu mwenye usongo naye...

km ni yeye dr shayo,itakuwa ni sababu alishawahi kushushuliwa na mashaka...akawa mdogoooooooooooo

me nampenda jamani mashaka...namuombea mungu ambariki kwa kila analolifanya...AMEN..
 

Yaani nimefurahi kweli Dr. Shayo A.K.A "Kawawa" kaumbuka anajiita US blogger,,,, kazi safi Mashaka, umekuwa kipenzi chetu....
 

Mbona huyu Dr. Shayo US. Blogger, anajidhalilisha, huo UPHD aliusomea wapi ...Mtakuwa mnatania ni Dr. Shayo ndiye anajifanya kujiita US Blogger, atakuwa anaumwa akili.Lakini tukubali mashaka kamshushua kisawasawa, tusubiri wataibuka na nini tena
 
Last edited:
Mbona huyu Dr. Shayo US. Blogger, anajidhalilisha, huo UPHD aliusomea wapi ...Mtakuwa mnatania ni Dr. Shayo ndiye anajifanya kujiita US Blogger, atakuwa anaumwa akili.Lakini tukubali mashaka kamshushua kisawasawa, tusubiri wataibuka na nini tena


Dr. Shayo ni mpumbavu sijui hiyo phD aliipata wapi. Inabidi arudi akafundishe chekechea. Dr. Gani anajificha nyuma ya cooomputer na kujiita US Blogger. Utadhania hana akili............ huyu mtu mjinga sana, ningekuwa mkuu wa hicho chuo ningemtimua
 

US Based Blogger, anakaaazi kweli kweli. Let us give this boy a benefit of no doubt, let him have a hard talk with JM, only if JM is ready, able, and willing to do so in an open air interview, anyway. It might be beneficial.

Whoever is going to give watertight tangible and verifiables exhibits, he will be the man.

Huyu US Blogger anaonyesha kujiamini, so, let him prove to the people that he knows what is what. Remember, he said vital and serious stuffs in his reply, so don't take this dude for granted.
 
tehe tehe no wonder Nzokanhyilu aliponda article yake......kajipinda ile mbaya kashusha bonge la article lingine

Hongera kwa atiko Dr Shayo
 
......kajipinda ile mbaya kashusha bonge la article lingine

The Nutty Professor pulled a January Makamba! Article nzima kavuta kutoka hapa, hapa, na hapa. Plagiarists wakubwa na Makamba wake! Wezi wa idea na maandishi ya watu. Kutafuta ujiko tu!

 
@ Post #153,

Teh teh ..Kaazi kwelikweli, Makamba & Shayo, hawa ndo baadhi ya 'wataalamu' (tena wamesoma Uzunguni!) waliojitokeza kuonesha 'ujuzi' wao.. Wale wengine ambao wapo 'kimya' nadhani ni ma-plagiarist wakubwa zaidi..Kama hawa wanaojitokeza wapo hivi, wale wengine watakuwaje?


Hii si kitoto..

Job true-true
 
Pheeeeeeew!! Kuhani, am I glad you actually took time to suss this crap. But I also feel you wasted your time over nothing. LOL!
Am I glad I speak the truth and say what I believe, even though i rustle a few people's feathers. Teh teh teh.
Now, for one true African kichwa, which the so called 'vichwas' should aspire to;

Philip Emeagwali
 

Heheheheee..wewe kumbe humjui vizuri huyu Nigerian American eeeh....? Ngoja Raj Patel aka Ukweli aka The Truth aione hii maana hata huyu mpopo naye ana allegations za kunyanyua kazi na mawazo ya wengine and pass them off as his own. Nakumbuka enzi za bcstimes.com Raj alimchambua huyu bwana hadi nikakoma naye. Hate him or love him, 90% of the time Raj is always right. Kwa hiyo hata huyu Emeagwali naye ni suspect vilevile......

Good try though....
 

Shayo is now being disgraceful. Huyu Philip nae si alifeli PhD yake?
 
Shayo is now being disgraceful. Huyu Philip nae si alifeli PhD yake?

Wewe acha tu! Huyu Mpopo naye ana skandali zake ambazo mimi sina muda wa kuziweka hapa. Labda Raj Patel ataiona hii na kuja kutuwekea ze dataz zake hapa....
 
Nyani Ngabu,

..nilivyoona jina la Philip Emeagwali almanusra nianguke kwenye kiti. nikakumbuka jinsi alivyochambualiwa na Raj Patel.

..kama ni kusoma mbona wako madogo kibao wana PhD nzito-nzito, wengine wana ma-patent na mazagazaga kibao?
 
Nyani Ngabu,

..nilivyoona jina la Philip Emeagwali almanusra nianguke kwenye kiti. nikakumbuka jinsi alivyochambualiwa na Raj Patel.

..kama ni kusoma mbona wako madogo kibao wana PhD nzito-nzito, wengine wana ma-patent na mazagazaga kibao?

Ahahahahahaaaa...hata mimi niliangua kicheko....halafu baadae nikajiuliza, hivi huyu Nzoka anatania au yuko serious?

Sasa ngoja Raj aione hii....
 
Ahahahahahaaaa...hata mimi niliangua kicheko....halafu baadae nikajiuliza, hivi huyu Nzoka anatania au yuko serious?

Sasa ngoja Raj aione hii....

Heheeeee. Najua sana alifeli PhD. LOL.
You dont get my point do you??
 
Nyani Ngabu,

..nilivyoona jina la Philip Emeagwali almanusra nianguke kwenye kiti. nikakumbuka jinsi alivyochambualiwa na Raj Patel.

..kama ni kusoma mbona wako madogo kibao wana PhD nzito-nzito, wengine wana ma-patent na mazagazaga kibao?

Philip Emeagwali myths

This page briefly addresses some specific claims appearing on Emeagwali's self-promotional website and elsewhere. For a more in-depth discussion of Emeagwali's "outright lies, half-truths, and numerous unsubstantiated claims," see the article Self-Promotion and Self-Authentication: "Father of the Internet" by Chioma Ezeilo.
MYTH #1:
Emeagwali made the "world's fastest computation" in 1989


Each year since 1987, the judges for the annual Gordon Bell competition have given out multiple prizes for supercomputing applications, usually including one for performance (fastest speed), and one for price/performance (best speed/cost ratio; specifically, "price-performance ratio as measured in megaflop/s per dollar on a genuine application").
Despite what you may have read on the Internet, the 1989 prize for the fastest performance was awarded not to Emeagwali, but to another entrant:
In the performance category, we awarded the prize to a team from Mobil Research and Development and Thinking Machines Corp. [...] Their solution of a seismic data-processing problem ran at almost 6 Gflops on a CM-2 Connection Machine.
"Special Report: 1989 Gordon Bell Prize," IEEE Software, May 1990, p. 101
The winning speed of 6 Gflops was almost double that of Emeagwali's entry (3.1 Gflops, a speed that Emeagwali has repeatedly misrepresented as the "world's fastest"). The Mobil/TMC team achieved the best price-performance ratio too, but since no entry was allowed more than one prize, the price/performance award passed to Emeagwali (who also used a CM-2 Connection Machine) even though his score in that category was about 20% worse than the leading score:
We awarded the price/performance prize to Philip Emeagwali [...] His model ran at a price/performance of slightly less than 400 Mflops per $1 million. While the Mobil/TMC team achieved almost 500 Mflops per $1 million, we decided to award only one prize per entry.
"Special Report: 1989 Gordon Bell Prize," IEEE Software, May 1990, p. 101
See the yearly results for the performance and price/performance categories. In no year did Emeagwali achieve what he claims he did.
MYTH #2:
Emeagwali won computing's equivalent of the Nobel Prize


In spite of efforts by Emeagwali and his admirers to hype up his $1000 Gordon Bell award as the "Nobel Prize" of computing, the rest of the computing world continues to associate that lofty label with the Turing Award, which Emeagwali has never won. The Gordon Bell prize, however, is just one of many other annual computing awards, respectable but not at all comparable to either the Nobel Prize or the Turing Award in prestige or prize money. Nor are the selection criteria analogous: Emeagwali was awarded for his performance in an annual competition, not in recognition of lasting contributions to his field.
MYTH #3:
Emeagwali is a "Father of the Internet"


1. Emeagwali's paternity claims to the Internet are judged and found baseless. Emeagwali has not shown any evidence that he was involved with ARPA or any other research organization or company connected with the genesis of the Internet, nor did he express his ideas in technical journals or any other channel through which he could have influenced the development of the Internet during its formative stages.
2. Is there a father of the Internet? A discussion of the main contenders: JCR Licklider, Bob Taylor, Paul Baran, Donald Davies, and Lawrence Roberts.
MYTH #4:
The "Connection Machine" was invented by Emeagwali


A few Web sources expand the fallacy that Emeagwali created the fastest computer program, insisting that he was also responsible for the massively parallel supercomputer on which the program ran. However, the 65,000-processor "Connection Machine" that allowed such speedy computations was actually the brainchild of Danny Hillis and was built by Thinking Machines Corporation, the company Hillis co-founded. The fact is extensively documented on the web and is so well established that I won't devote more attention to it.
MYTH #5:
Emeagwali has lots of patents or patent applications


The number of Emeagwali's patents or patent applications is sometimes claimed to be as high as 30. However, a search of the USPTO and esp@cenet patent databases (as of September 2003) reveals the true number to be zero. The U.S. Patent and Trademark Office, which has a fully searchable online database for all U.S. patents since 1976 as well as all current applications, simply has nothing on file for Emeagwali.
MYTH #6:
"Dr." Emeagwali?


Emeagwali is frequently referred to on his own and other websites as "Dr. Philip Emeagwali" or simply "Dr. Emeagwali." Though he did in fact enroll in a PhD program at the University of Michigan, he did not get the degree after failing his qualification examinations twice and having his thesis rejected by a committee of faculty members. Emeagwali subsequently sued the university, alleging civil rights violations and racial discrimination. His case was dismissed without trial. When Emeagwali appealed to a higher court, a three-judge panel rejected his discrimination claims unanimously.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…