Wanajamii sio namponmgeza masanilo kwa uchambuzi wake wa Dk. Shayo, naanza kupata wasiwasi na kazi yake alijuaje mpaka pasi za mtu na ailivyotoka na kuingia nchini kwa muda gani na mpaka pasi ikaisha akapewa nyingine.mmmmm haya yawezekana uliyeuliza habari za Dk. Shayo habari za wewe na mkeo jana usiku Masanilo anazo alipataje sio swali kwakuwa wewe wapenda kujua za wenzako.
Maoni yangu. Usihitimisha mtu tafsiri ya mtu kwa jinsi ulivyomwona, tafiti zaidi ya hapo, kuona makosa kwenye makala ya mtu wengine tunaona ni labda haijapitiwa na mwingine. Ni kanuni ya kawaida ya Editing(Uhariri) kila ukiandika lazima ipitiwe na mtu mwenyewe huwezi kujua makosa yako. Kama siyo editing kazi zetu waandishi msingezisoma kesho yake maana makosa kibao.kwahiyo msimhukumu Shayo labda aliandika haraka.