Dr Hosea: Utaacha Legacy huko TLS ukifanya haya

Dr Hosea: Utaacha Legacy huko TLS ukifanya haya

Mfikirishi

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
8,939
Reaction score
10,403
1. Simamia TLS ifungue kesi Mahakamani kupinga Ubunge wa Halima Mdee na wenzake.

2. Fungueni kesi Mahakamani kudai Katiba Mpya.

3. Fungueni kesi Mahakamani kudai walioporwa fedha zao na mamlaka za serikali warudishiwe fedha zao.

4. Pelekeni kesi Mahakamani kupinga kikokotoo Cha mafao ya mifuko ya hifadhi.

5. Kuna kesi za viongozi wa uhamsho.

6. Kuna wizi unaofanywa na HESLB.

7. Kuna wale viongozi wanaotoa hate speech, kuua na kutishia haki ya kuishi.

8. N.k, N.K

TLS Kama cha wanasheria na mawakiki wasomi; Fanyeni hayo yote kuokoa wananchi kutoka kwenye mikono ya wanasiasa wanaotumikia matumbo yao!

Tofauti na hapo you are better dead than alive!
 
Hamna jipya hapa. Kati ya kipindi TLS imebugi ni awamu hii. Yaani na elimu yao yote ya sheria wamesahau huyu jamaa amesha kula kiapo cha juu?

Kwamba hata siku moja hawezi kwenda kinyume na hicho kiapo?

Ati anakwenda kuapishwa na Colman Ngalo. Tls mna chekesha sana.
 
Wambie kauli mbiu yetu ya "hatujaribiwi" bado ipo na inaishi.
 
Back
Top Bottom