Dr. Idd Amin Dada aliyekuwa Rais wa Uganda. Na marais wetu na Doctorate za Kichawa

Dr. Idd Amin Dada aliyekuwa Rais wa Uganda. Na marais wetu na Doctorate za Kichawa

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Unashangaa? Wenye akili walikuwa wanazikataa.... Akina Nyerere waliamua waitwe Mwalimu Julius Kambarage Nyerere pamoja na kushimiwa sana.

Nyerere alikuwa akiona unajipendekeza sana kwake anakutolea mbavuni. Hakutaka kuitwa Dr..

Idd Amin alipewa Degree ya heshima ya Sheria na Chuo Kikuu Cha Makerere Uganda. Toka kwa Machawa wake. Ukikaa ukafikiria naye Idd Amin humwoni kama ana akili za kuwa hata na Degree moja toka chuo kinachojielewa. Ila akapewa PhD ya heshima ya Sheria.

20221203_141127.jpg
 
Akili za Waafrika wengi zinafanana sana
 
Watu wenye akili level za Nyerere wanatamani Nobel prize, na siyo hizo takataka za kina Msukuma.

Nobel prize hakuna mbambambaa na magumashi kwenye selection.
 
Back
Top Bottom