Muke Ya Muzungu
JF-Expert Member
- Jun 17, 2009
- 3,444
- 265
Ndugu Wadau
Popote pale mlipo natanguliza shukrani. Lengo langu kubwa ni kuwataarifu kwamba, tumechoka na ufisadi, na nitarudia kwamba tumechoka. Tumeanzisha blogu mpya kwa ajili ya kuwatia weu mafisadi yote.
Hii siyo ZE_UTAMU wala haitaweza kuwa kama ze- utamu. Hii ni site yenye maadili yake, kwa maana hiyo yeyote mwenye nyaraka au habari za kifisadi, tunaomba mtutumie ili tuwabaini. Majina yote yatakuwa ni ya siri kwani wote watakuwa ni wapiganaji
tunawaombeni msaada katika kuwafichua mafisadi. Siyo chuki binafsi bali UFISADI katika idara zote za serikali na umma kwa ujumla. Hakuna wa kumuogopa hapa, kwani tuna uhuru huo wa kutoa hoja bila ya kuvunja sheria, kwa maana hiyo vita ndio vimeanza. Tanzania watu waoga sana, basi sisi tumeamua kuwafichua, Hatuwezi kumsubiri Dr. Slaa tena wakati nchi inakwisha
...kwa maana hiyo yeyote mwenye nyaraka au habari za kifisadi, tunaomba mtutumie ili tuwabaini.
Rashid ni mkware sana na inawezekana Mama Subi hapo juu ni mtu wake ndio maana amechukizwa na thread hii! UKWELI NI KWAMBA RASHID ANA HISTORIA YA UFISADI TOKA ALIPOKUWA NBC NA HATA BENKI KUU; KITU CHA KUSHANGAZA NI KWAMBA HATA NA REKODI MBAYA NAMNA HII BADO ANAKUMBATIWA NA MKULU!! Kama wasemavyo wahenga BIRDS OF A FEATHER FLY TOGETHER
luvin eyesMkuu, mimi sipendagi blah blah za watu ambao hawani hata proof. Just because mtu amekuwa anaongoza vitengo mbalimbali basi anaandamwa nakuitwa fisadi. Hiyo nyumba ambayo imefanyiwa ukarabati kwa 600 million, mnajua ukarabati wa namna gani? Na mnauhakaki au ni stori za mtaani tu?
Tunategemea kuwa na wasomi humu ndani, sio watu wakurupukaji. Tungejitahidi kuleta facts. Hiyo historia ya ufisadi ni bora ingewekwa wazi ili wote tuisome na tuijue.
kumbe hiki kijamaa fisadi original ndio kimiliki cha ile blog?
kibaya kijama hicho kinatumia majina yetu tukufu kuweka comments matusi....mnhh, kazi ipo.
na kwanini atumie kiujanja ujanja jina la forum yetu pendwa ya JF?
kibaya kijama hicho kinatumia majina yetu tukufu kuweka comments matusi....
kibaya kijama hicho kinatumia majina yetu tukufu kuweka comments matusi....
mmh,kwani FO na YoYo si ni mtu mmoja? mbona unataka kutuchanganya hapa mkuu? Pwa ako kablog si ni kwako? au tayari umejitoa huko?mnhh, kazi ipo.
na kwanini atumie kiujanja ujanja jina la forum yetu pendwa ya JF?