DR INTERN AVUJISHA SIRI ZA MGONJWA

DR INTERN AVUJISHA SIRI ZA MGONJWA

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
901
Reaction score
1,742
IMG_7430.jpeg

Nilipokua Mhimbili Intern walimpa mgonjwa dawa za mgonjwa mwingine, Leo Dr Celine anabwaga taarifa za mgonjwa , hawa Intern hawa
 
Huyo mgonjwa akiyevujishiwa siri utambulisho wake umejulikana?
 
View attachment 2641578
Nilipokua Mhimbili Intern walimpa mgonjwa dawa za mgonjwa mwingine, Leo Dr Celine anabwaga taarifa za mgonjwa , hawa Intern hawa
Walaumiwe wanaowasimamia , hawa bado wako mafunzoni , pamoja na kujifunza Udaktari lakini wanafundishwa uadilifu pia pamoja na sheria za kazi.

Shida ni kwamba pakiwa na Intern wasimamizi wanaona ndio muda wa kwenda kulewa
 
Sijaelewa kosa la jamaa ni kuonesha alipoitoa namba au!?

Maana sijaona kosa la huyo mgonjwa kumtext daktari.

Au kuna chat inaendelea!!?
Kweli kabisa mpaka hapo ilipoishia hakuna kosa kwa Dr na hata kwa mgonjwa labda kama jamaa alimtongoza Dr ila kama alikuwa anahitaji ushaur zaidi hakuna kosa tungependa kuona muendelezo wa hayo mazungumzo.
 
Walaumiwe wanaowasimamia , hawa bado wako mafunzoni , pamoja na kujifunza Udaktari lakini wanafundishwa uadilifu pia pamoja na sheria za kazi.

Shida ni kwamba pakiwa na Intern wasimamizi wanaona ndio muda wa kwenda kulewa
Hako kadaktari ka twitter Celine ni kashenzi....juzi kamepost x-ray ya jamaa kapasuliwa yai mk.ndn...kanasema mgonjwa alisema alikuwa anaokota mayai bandani!!!

Ndio shida ya kuwa na madaktari watoto!

Ethics hazizingatiwi
 
Back
Top Bottom