Ravalomanana
JF-Expert Member
- Sep 8, 2018
- 1,557
- 1,540
Dr ndodi aonekana ofisini kwa Dr Boaz Mkumbo daktari aliebobea katika kutoa elimu ya lishe, kumbuka Dr ndodi hapo kipindi cha nyuma alikua akitoa elimu ya namna ya kuepukana na kitambi kwa kuwashauri watu wale dona kwa wingi na alikua akikandia Sana watu wenye vitambi, lakini leo hii na yeye ndambi imemuelemea na ameenda kuomba msaada