Ravalomanana
JF-Expert Member
- Sep 8, 2018
- 1,557
- 1,540
Labda alijisahau akawa anahudhuria minuso kwa sana.Hebu Muulize Wenye vitambi ni wale wanaokula hovyo hovyo?
Tatizo lake alikua hajui hasa kipi kinasababisha kitambi yeye akawa anawakazania watu wale dona, na kutokana na tafiti za sasa hivi vyakula vya wanga pamoja na sukari ndio kisababishi kikuu cha vitambiLabda alijisahau akawa anahudhuria minuso kwa sana.
Ukiambiwa tunahitaji watu wenye vitambi hata huyo utamchukua?Dr ndodi aonekana ofisini kwa Dr Boaz Mkumbo daktari aliebobea katika kutoa elimu ya lishe, kumbuka Dr ndodi hapo kipindi cha nyuma alikua akitoa elimu ya namna ya kuepukana na kitambi kwa kuwashauri watu wale dona kwa wingi na alikua akikandia Sana watu wenye vitambi, lakini leo hii na yeye ndambi imemuelemea na ameenda kuomba msaadaView attachment 869008