Nukta5
JF-Expert Member
- Jun 7, 2014
- 1,182
- 1,288
Leo katika kipindi cha njia panda dr. Issack ameelezea fine waliyotozwa na TCRA kwamba kipindi kilitozwa fine kutokana na kwamba kilipotosha wasikilizaji kuhusu nguvu za kishirikina wakati wanamhoji Mussa kipindi kilichorushwa tarehe 15.
Pia Dr. alielezea kuhusu nia ya kipindi ni kufundisha, kuelimisha na kusaidia jamii yote kwa ujumla kuhusu matatizo wanayopitia watu kwa kuwahoji wahusika live.
Katika kuelezea kipindi cha njia panda ni kipindi cha kuelimisha na kusaidia watu Dr. Issack alisema hakuna kipindi kilichowahi kuwasaidia watu kama kipindi cha njia panda kwani kimeshawasomesha watu takribani 100 na pia kuwasaidia watu kwenye kesi zao hadi walipopata haki zao na akaendelea kusema kama mtu anabisha yupo tayari kumwandikia check alete ushahidi.