Dr Jakaya Kikwete.

Dr Jakaya Kikwete.

Ziada Mwana

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Posts
201
Reaction score
22
Mtabishana weeeeeeeeeeeeeeeee! lakini wazungu ndio walioanzisha hiyo Dr na haohao ndio waliomtunuku, tena walewale wanaoongoza dunia ndio walikuwa wakwanza kumtunuku.

Honour
Awarded by
Date of Award
Reason for Award
  • Honorary doctorate degree in Law
in recognition of his dedicated public service[3]
Dr Harris Mule, Kenyatta University
December 2008
in recognition of his efforts in solving conflicts and ensuring peace in Africa[4]
  • Honorary doctorate in the science field of International Relations
for promoting international relations between Turkey and Tanzania[5]
  • Honorary doctorate degree of Public Health
for his efforts in modernizing the health sector and ensuring higher learning opportunities for health workers[6]
 
kumbe za kupewa tu?na si za kuumiza akili class!basi pia wako ma proffessor wa mazingaombwe, ambao nao jamii inawatambua kama ma Prof, acha uzandiki ww
 
Mtabishana weeeeeeeeeeeeeeeee! lakini wazungu ndio walioanzisha hiyo Dr na haohao ndio waliomtunuku, tena walewale wanaoongoza dunia ndio walikuwa wakwanza kumtunuku.

Honour
Awarded by
Date of Award
Reason for Award

  • Honorary doctorate degree in Law
in recognition of his dedicated public service[3]

Dr Harris Mule, Kenyatta University
December 2008
in recognition of his efforts in solving conflicts and ensuring peace in Africa[4]

  • Honorary doctorate in the science field of International Relations
for promoting international relations between Turkey and Tanzania[5]

  • Honorary doctorate degree of Public Health
for his efforts in modernizing the health sector and ensuring higher learning opportunities for health workers[6]

Ni kweli kafanya mengi kama inavyoonekana hapo juu. Maprof. wote hao hawawezi kuwa wajinga kumtunuku mtu asiyefaa. Lakini vipi kuhusu wale walokuwa wanamshauri anatenda yote hayo, maana yeye sio mtalaam wa kila fani. Washauri wake wamepewa nini?
 
Hata wewe ndugu yangu, ukitaka kufanya jambo utalifikiria na kisha utamwambia rafiki yako akupe ushauri wa hilo ulilolifikiria na pale litakapokuwa na tija ki mataifa ni wewe(creator) utakayepewa hiyo sifa na hayo matunu.kikwete kafanya mengi kama ulivyosema sisi kazi yetu ni kubeza kila kitu lakini wenye kujua maana wametoa hiyo tunu.
 
Nadhan jamvi hili ni kwa ajili ya kujadili mambo muhim yatakayoisaidia nchi yetu. Sidhan kama waliobuni, walikua na maana ya kuweka sehemu ya malumbano baina ya vyama. Mtu kuwa na shahada ya Uzamivu kwa wananchi sio tija sana kama maisha yanazidi kuwa magumu. Tusiwe kama kasuku, kwenye hoja tujadili hoja. Kama ahadi zinashindwa kutimizwa tujadili tatizo liko wapi. Kwangu mimi ni bora ya kiongoz ambaye amemaliza form IV tu lakini maisha ya wananchi yanaboreshwa kuliko Prof. ambaye hawasaidii wananchi na anabaki kulalamika tu. Kwa hiyo acheni kutuyeyusha na hoja zenu zisizokuwa na mashiko.
 
Back
Top Bottom