Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kenyatta nchini Kenya, Dk. Harris Mule akimtunuku Udaktari wa Heshima Rais Jakaya Kikwete wakati wa Mahafali ya 25 ya chuo hicho Nairobi ijumaa. Digrii hiyo ya heshima inatokana na jitihada zake za utatuzi wa migogoro kwa nchi za Afrika hasa mgogoro wa Kenya. (Picha na Freddy Maro).
Maama Salma Kikwete akimpongeza rais Jakaya Kikwete baada ya kutunukiwa shahada ya Uzamiri (PHD)
http://michuzijr2QUOTE]
[SIZE="5"].......hawa vipi ????????....wamelazimishwa kukumbatiana...?....mbona hawako emotion...as if wamekumbatiana just for the sake of protocal..halafu wakasahau kutizamana na angalau ku smile....no wounder wanaosema kuwa hawa wako just for protocal.....lakini mzee akili ipo kwa kimwana!!![/SIZE]