Unaumwa, kura zote ni kwa Magufuli. Tunasubiri kumwapisha tu.Kura yangu kwa Lowasa
Wakati Obama anakuja kuizindua niliyemuoana pale alikuwa ni Kikwete na waziri wa Nishati na madini na sio Lowassa wala Rostam, unaporopoka ni vema ukawa na kumbukumbu sio kuandika kwa kufuata ushabiki na maneno ya vijiweni yanayotolewa na akina Mwigulu, Lusinde na Bulembo bila kumshahu Nape.Symbion ni ya Lowassa na Rostam Aziz
Hii nchi toka inapata uhuru haijawahi kuongozwa na wanasayansi' huu ni wakati wa kufanya mabadilko ya kwenda na magufuri mwanasayansi tunayetegemea kutuletea mabadiliko ya kweli' Kama ww ni mwanasayansi ungana na mimi tumpeleke magufuri ikulu na Kuweka historia ya mwanasayansi kushika nchi kwa mara ya kwanza