Elections 2015 Dr. John Pombe Magufuli anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania

Mkuu utakuwa umesoma hkl ww

Ndio kwan hkl inatatizo gani kama kusoma science ndo kuwa na akili kama ulizonazo wewe kizazi changu chote nitakikataza kisithubutu soma huo upuuzi uliosoma wewe
 
Mwanasayansi magufuli mweupe sana anaangusha.

Sasa hivi tangu ameanza sayansi imeisha zimebaki siasa tu.
Anaongeongea ovyo bila mpangilio.

Hotuba zake hainza focus, contents, vision, clarity na priority.

Hajui mipaka ya kimaakama, mihimili ya taifa. Yeye linalokuja anropoka tu.


Msome benjamin(miongoni mwa mababa wa taifa wa us akiwa ni scientist) franklin utaelewa kuwa mwanasayansi kiongozi wa taifa aibuki kama mzuka.
 
Zanzibar Dr. Shein ni MKEMIA na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania atakuwa Dr.Magufuli ambaye ni MKEMIA. Not just coincidence, bali ni mipango ya MUNGU.
 
Sayans+siasasafi+uongozibora=maendeleo. hivyo vitu vinakwenda sambamba na kamwe huwezi kuvitenganisha.hata hizo nchi zilizoendelea zimefika hapo zilipo na zinazidi kuendelea kwa sababu ya kuendelea kwa sayansi siasa imeraisishwa kwenye hizo nchi kwa msaada wa sayansi,watu wanafanya kampeni jamii forum kwa sababu ya sayansi kamwe huwezi hiacha nyuma sayansi.ingawa napata mashaka na sayansi yetu watanzania iliyojikita katika kuwakaririsha vijana kuliko kuwafanya wawe wabunifu na wavumbuzi.tuna safari ndefu ya kufikia maendeleo kwa sayansi yetu watanzania.
 

Ndio nasikia Tanzania ina wanasayansi! Hivi nchi ambayo huduma za afya zinafuatwa India,viwanda vimekufa , hata toothpicks tunaimpoti, chumvi tunachukua Kenya, barabara na majengo ni wachina wanajenga, alafu kuna mtu anajiita mwanasayansi!
 
Dr. Magufuli ni msomi kweli kweli anatufaa hasa kwa uzalendo wake. Tanzania itapendeza sana wakati wa utawala wake.
 
Ni zama za kutumia nishati na miundombinu tuliyonayo kuzalisha kwa kasi sana tufikie uchumi wa kati
 
Magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli
 

Attachments

  • 1445521180996.jpg
    35.6 KB · Views: 72
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…