Elections 2015 Dr. John Pombe Magufuli anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania

Mimi sijamkubali,naomba usinisemee.
 
mi nashangaa sana kuona mpka leo watu mnabishana na kuwaita watu maraisi, hebu tusubili bhna siku imeshafka nyie vp
 
haiitaji tapeli kama TB JOSHUA kujua kwamba CCM itashinda ..... ni sawa na kuuliza 1+1= ?
 
haaa naona umeamua unipigie kura au sio? ndorobo wew
 
Unabii huwa haubadilishwi kijinga wadanganyeni wapagani wasiojua unabii
 
Nilifikiri ni utabiri wa T.B. Joshua kumbe T.B. Joshwa!!!
Akolezee kwa kuweka clip tuone.
 
.......acha kuwasemea watanzania.......watu hawaitaki ccm wewe unaleta siasa nyepesi hapa jukwaani peleka facebook
 

Baba Mungu wa Ibrahim, Mungu wa Isaka na Mungu wa Yakobo, watanzania kwa unyenyekevu mkubwa tunakuomba umwangushie angamizo zito huyu mwanamitandao Mwamba Usemao Kweli adahabu na laana kali itakayokuwa fundusho kwa wanafiki wote wanaowasingizia watumishi wa MUNGU T B Joshua kwamba ametoa kauri kuhusu uchaguzi wa Tanzania. Tunaomba haya yote kupitia jina lako tukufu lipitalo majina yote!! Amen
 
Huyo joshwa ni sahihi kabisa kwa ccm,Mtumishi wa Mungu Tb Joshua ni mtumishi sahihi wa Mungu.

Hata mimi naona yupo sahihi kwani aliyetoka chama tawala ni LOWASAH YUPO SAHIHI TB JUSHUA. !

LOWA FOR 2015!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…