mkonowapaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 1,492
- 768
Anaweza kuwa kama Dr Kifimbo au Profesa Maji Marefu, usishangae sana maana Nchimbi nae ni DR.kwa nini unamwita dr?
Anaweza kuwa kama Dr Kifimbo au Profesa Maji Marefu, usishangae sana maana Nchimbi nae ni DR.
Hakuna ndoa mbili kanisani kabla ya kifo, labda wakafunge ndoa ya serikali.Kaolewa?
Kaolewa?
Acha kuwa mshabiki kama kipofu, umeulizwa swali dogo tu kaolewa? na hapa jibu ni rahisi tu hajaolewa. PERIOD.Kamuoe wewe kama jeshi lote la magwanda hatujahamia kwako tukuoe na wewe huyo mama mpiganaji hasa