Dr Kamuzu Banda

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Kijana kutoka Malawi, mama yay je alipata shida sana kupata mtoto mpaka herbalist alipompa kamuzu yaani kamzizi alikachemsha na kunywa maji matokeo yake alishika ujauzito na kumpa mtoto jina Kamuzu.

Kamuzu aliishi Malawi mpaka mjomba wake alipompeleka South Africa aliko fan ukiwa kupata kazi kama cleaner wa hospital.
Hospitali ilikuwa ni ya wa missionary, waligunduavuwezo mkubwa wa uelewa wa Kamuzu na walioamua kumpeleka Marekani kwa masomo zaidi.

Niliandika historia kamili ya friend Banda jukwaani la historia
My take in life never give up, Maisha ni self struggle hakuna atakae kutafunia
Hastings Kamuzu Banda Facts
 
Huyu mzee inasemekana hakuwahi kupata mtoto kwa sababu za kiafya ikiwemo kutosimamisha 'machine' vizuri!
 
Huyu mzee inasemekana hakuwahi kupata mtoto kwa sababu za kiafya ikiwemo kutosimamisha 'machine' vizuri!
Hear say zinasema alikuwa dr wa queen alipokuwa Uingereza. Walimhasi ili asimrape queen ingekuwa aibu
 
Story ya kutungwa kabisa haiendani na Ukweli hata ule unaotolewa na Waingereza japo nao ni uongo
Hizi za kutengeneza vijiweni kwa ajili ya mahubiri ya kina nabii Tito
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…