Dr. Kasoga wa UDSM Economics Dept


Hayo ndio matokeo ya Taaluma kutawaliwa na wanasiasa matokeo yake tunazalisha matatizo. Mtu anapewa uprofessa kwa kuandika majarida ya CCM na Political manifesto ili apewe position mahali. I have lost hope in Tanzania kabisa Vyuo vimejaa longo longo, Serikalini vitu vinaendeshwa kimajungu na mwishoe nchi inakosa mwelekeo kabisa!!!!
 
Marigwe,
Mimi namfahamu Kasoga kwa karibu. Alipokuwa Azania mimi nilikuwa Agha Khan.Lakini kuhusu Phd yake Marekani aliisotea kikweli kweli. Unajua kufundisha ni taaluma. Alipomaliza shule Marekani alifanya kazi kwenye ofisi ya uchumi ya gavana wa Michigan. Sababu pekee iliyomrudisha nyumbani ni ugomvi na mke wake wa Kimarekani ambao ulipelekea divorce. Angekabi Marekani yule mama angemfilisi kila kitu.Akaamua kurudi Bongo. Lakini si mtu aliyetulia na anapenda misifa ya kufahamiana na watu wakubwa.
 


Mkuu
Nafikiri tatizo si kuisotea hiyo PhD, nafikiri kuna kasumba fulani ambako baadhi kamewakaa kwamba elimi ya ugaibuni ni rahisi sana maana ya UDSM ndo yenyewe. Mtu kusoma nje anaonekana amekimbia mitulinga ya udsm maana pale digrii ya kwanza ni zaidi ya masters ya ugaibuni.teh teh teh
 
Unadhani hivyo? kwa nini unadhani hivyo? tuhabarishe
 
Unadhani hivyo? kwa nini unadhani hivyo? tuhabarishe

Ni baadhi ya maandishi ya memba na stori ninazosisikia.Ndio maana mjumbe hapo juu hajashangaa PhD ya mjumbe lecturer huyo kuipata marekani. Wewe unadhani kwa nini mjumbe hapo juu hakushangwaza ??
 

Acha bana!?Sio mchezo......
 

Kama degree ya kwanza ni zaidi ya Masters,sasa kwanini wanaenda nje kufanya Masters baada ya degree ya kwanza?
 
Mwanzoni mwa miaka ya tisini wakati Dr. Kasoga anarudi Tanzania, inasemekana alimpa mtoto wa Mwinyi amwingizie koteina lake, labda kusudi akwepe kodi kwa kupitia jina la Mwinyi ambaye alikuwa president wakati huo. Lakini baada ya mizigo ile kufika Dar, yule mtoto wa Mwinyi (nadhani huyu Dr Huessin Mwinyi- not so sure) akageuka na kudai kuwa konteina lote ni mali yake. Kasoga alifungua kesi akisimamaiwa na Attorney Israel Magesa, lakini sijui waliyamaliza vip. Huyu Dr. Kasoga naye ana matatizo fulani ya organization katika kuendesha mambo yake; utadhani kama vile ni mbabaishaji wakati siyo kweli.
 
Kichuguu,
Ni huyo huyo mtoto wa Mwinyi ambaye sasa anaandaliwa kuwa rais wa Zanzibar.
Tapeli nambari wani.
 
Huyu bwana ana matatizo, sio tu katika kufundisha hata katika PR, akifundisha haeleweki na kama huna uwezo wa kupaste material yake(anafundisha kama Sec au msingi kwa kutoa notes za kuandika) au ukatumia reference tofauti umekwenda na maji. Akifuatilia vizuri history yake inaonekana kama family problems zimemuathili kwa kiasi kikubwa.
 
Siasa hizi!,,zinapoingizwa bila mpango maalum, na kwa fitna kwenye Elimu matokeo yake ni kama kutia chumvi kwenye togwa...hainyweki tena!

Sasa resourse heads kama hizo tajwa zinatupwa kwa malengo ya siasa ni uwendawazimu!

Ni vizuri tukapata habari kamili kuhusu kilichowasibu hawa jamaa na mchango wao katika matatizo haya. Hawa wote wanajua kuwa sheria ya utumishi wa umma hairuhusu mwajiriwa kuwa kiongozi wa chama cha siasa. Hata unapogombea ubunge inabidi uache kazi katika utumishi wa umma Kama walivyofanya Lipumba, Safari na Mvungi. Je hawa ajira yao ilikuwaje?
 
Hivi huyu Dr. Kasoga ana mke hapa TZ?
 
Jasusi. Ninaafiki kuwa wamfahamu. Miaka ile tukiwa Azania ndiyo ilikuwa miaka ya Black Power movement chini ya mwanaharakati Stokeley Carmichael (Black American) ambaye alikuja kuwa mume wa Miriama Makeba na wakapewa uraia na Seku Toure wa Guinea. Ninakumbuka Carmichael alifika pale Azania kutuhutubia na aliletwa na Kasoga. Kama unavyosema jamaa linafahamu sana kunetwork ila tatizo lake ni kakorofi na cotroversial and of course populist. If only angekuwa smart kulea hizo connections bila ya shaka kangefika mbali.

But I guess hizi habits ambazo tumezaliwa nazo kututoka inahitaji maombi na divine intervention!!
 

Mkuu Hofstede nakubaliana na wewe,Dr Lenny Kasoga mimi alinifundisha pale IFM somo hilo hilo Principle Of Economics ndio kipindi hicho amerudi kutoka US,mkuu jamaa alikuwa ana rape kama LLCooJ,na hesabu ndio zilikuwa zinamgonga sana...ila ni kweli jamaa ajatulia kabisa anapenda sana bifu..na atapale IFM walimtimua akakimbili UD,Phd yake kafanya university of Michigan,na ilihusu Ujamaa...alikuwa anaupinga madongo...
 
Mkandara yuko so weak like our President. Yaani wanafanana katika mambo mengi sana. Kama alivyo Kikwete ndivyo alivyo mkandara hata katika mambo yetu yaleeeee......
 

Hebu punguza uhasama usiohitajika. Naanza kujiuliza ulisoma wapi mpaka ujilinde kiasi hicho?

Ukiangalia idadi ya Ph.D. ktk prospectus ya UD utagundua kwamba waalimu wengi wamezisoma nje ya nchi na tena wanajivuna na tena yule anayetaka Ph.D anatamani akaisome nje. Sasa wewe utasemaje kwamba hawaziheshimu.

Tatizo lako hata ktk thread ile nyingine ilikuwa ni kutetea degree za modem eti ni safi. Kizuri ni kizuri na kibaya ni kibaya hata kama ni matokeo ya hapa kwetu.

Muhusika unayemshambulia, alianza kwa kutuhabarisha uwezo wake alipokuwa sekondari.
 

You sound like Hawa Gasia!
Maelezo kama hayo yalikataliwa na waziri Magembe. Kama hayo uliyoyasema ni sahihi basi walio CCM wanaruhusiwa.

Kule Morogoro kuna Meya wa jiji kutoka CCM (Prof. Ishengoma) ambaye ni mwajiliwa wa SUA na taarifa nilizonazo bado ni mtumishi wa chuo hicho na analipwa mshahara na ana madaraka mengine pale chuoni.

Kwa nini hajaachishwa kazi?
 
Kila mtu anayo haki ya kutoa au kusema ila siasa za Taifa letu ndio matatizo na kama watu kama hawa wanayo mambo mengi ya kusema basi wafanye hivyo na sio kuzuia kufanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…