mkandala is the worst VC udsm has ever got, nadhan tunajua alipewa u vc kwa kile kiredet alichokua anafanya tafiti za kutafuta nini cha kuisifia serikali badala ya tafiti za kuleta maendeleo kwa watu! former vc was an engieer, and most engineers are not political and they take no nonsense nakumbuka katika hafla ya kukaribishwa first yr the yr i was joining there he said ''if you have all agreed to boycott classes and you all feel its right to do that to achieve something then do it'' from there i knew he is reasonable guy!