Fadhili Paulo
JF-Expert Member
- Sep 1, 2011
- 3,211
- 993
Waziri wa viwanda na biashara Dr. Abdalah Kigoda amezindua kiwanda cha kutengeneza pikipiki za magurudumu matatu chini ya mamlaka ya uwekezaji wa ukanda maalum EPZA kinachotumia asilimia kubwa ya maligafi za hapa nchini na kuahidi kuendelea kuboresha mazingira kwa wawekezaji wengi zaidi kwenye sekta ya viwanda.
<font color="#0F5494"><span style="font-family: Myriad Pro">
Chanzo: ITV Tanzania
Last edited by a moderator: