Fadhili Paulo
JF-Expert Member
- Sep 1, 2011
- 3,211
- 993
Kiwanda kiko wapi?
Haya ndiyo mambo tunayotaka kusikia......
ni kiwanda ama assembling centre?
Nadhani tatizo hapa ni Tafsiri tu. Nilichoona kwenye Luninga jana usiku ni Kiwanda cha Kuunganishia (assembling) hizo pikipiki. Maana yake ni vifaa na vipuri (parts) vinatengenezwa India na kusafirishwa hadi Dar kwa ajili ya kuunganishwa (assembling) ili kuwa pikipiki kamili. Kiwanda kinamilikiwa na Mhindi. Kama niko sahihi, basi hakuna jipya hapo.
Tusubiri wenye kujua zaidi waje kutujuza!