Elections 2010 Dr. Kigwangala naye apeta Nzega!

msikonge

Senior Member
Joined
Aug 4, 2010
Posts
151
Reaction score
8
:thinking::thinking:
Kwa habari zisizokuwa rasmi yule kijana mwenzetu, aliyezushiwa ni Mrundi anazidi kuchanja mbuga kuelekea Bungeni, inaonekana ameendelea kuwaacha wapinzani wake ki-aina!
Jamaa huyu akiingia bungeni na aamue kufanya kazi, hilo Bunge litachangamka sana!
 

Yes,

Kama hataathirika na siasa za CCM na makundi ya kifisadi, nadhani Kigwangalla ni kijana anayelifaa Bunge letu. Kwa bahati mbaya mpinzani wake mkuu, Mzee Meza alishindwa kuitumia vizuri fursa aliyopata kwenye mdahalo wa TBC1, alipwaya sana badala ya kuongeza kura alipunguza kura nyingi sana.
 
Napata taarifa tofauti kuhusu Nzega...tusubiri itangazwe rasmi...si kweli kuhusu mgombea wa CCM kuongoza
 
mnaoshangilia usshindi wa ccm hamtakii nchi hii maendeleo
 

Ni mwajiriwa wa WAMA ya dadaetu Salma
 
wabunge wa ccm come 2010 -2015. watafanya kazi kubwa sana maana wanajua kazi iko 2015 kutetea kiti
Hata mie naamini hivyo, vinginevyo, nao yatawakuta yaliyomkuta Masha!
 
Yes, nami napenda kuamini hivyo. Akivurunda, itabidi tulifufue suara la uraia wake!:A S angry:
 

Tafadhali. sisi wengine ni wazee!!. Heri yake.
 
Matokeo kule yaelekea siyo rasmi basi tusubiri kilicho rasmi.............
 
jamani si kila mgombea wa toka chama tawala ni mbaya,kijana ni mpiganaji,na natumaini atawakilisha vilio vya watanzania wengi na apewe nafasi,kama kashinda nampa hongera zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…