Dr Kigwangalla: Nina Kipawa cha Uongozi ndio sababu baada ya kugraduate tu nikawa Mbunge na baadae Waziri

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Dr Kigwangalla amewataka vijana watambue vipaji vyao mapema na wafocus kwenye kutimiza ndoto zao

Kigwangalla amesema yeye ana Kipawa cha Uongozi na alifocus kwenye ndoto yake tangu akiwa form six
 
Dr Kigwangalla amewataka vijana watambue vipaji vyao mapema na wafocus kwenye kutimiza ndoto zao

Kigwangalla amesema yeye ana Kipawa cha Uongozi na alifocus kwenye ndoto yake tangu akiwa form six
Kipaji si kuongoza tu,ata kuongozwa ni kipaji.Ukiwa unafikiria kuongoza tu utakuwa na shida mahali Fulani. Hakuna Kiongozi asiye ongozwa iyo ni nature.
 
Dr Kigwangalla amewataka vijana watambue vipaji vyao mapema na wafocus kwenye kutimiza ndoto zao

Kigwangalla amesema yeye ana Kipawa cha Uongozi na alifocus kwenye ndoto yake tangu akiwa form six
Mkimbizi anayeishi kwa kubebwa na CCM.
 
hahahaha kuwa mbunge na waziri Tanzania ndio kipawa cha uongozi?
Kuna video ilimuonyesha wakati akiwa Waziri wa maliasili na utalii Kuna namna alivyokua akiwakaripia Askari wa maliasili na walikua viongozi trna mbele ya watu mbaya zaidi anawaamrisha wapige push up/ waruke uchura.
Nilijuta kuangalia Ile video, Sikuamini kama Kiongozi kama Waziri anaweza kuongea Mashudu ya daraja la mwisho na kutenda vile alivyotenda.
Huyu jamaa Kwa matendo Yale hastahili ata kuwa kiongozi wa familia achilia mbali ujumbe wa nyumba kumi.
 
Nadhani huenda Dr. Kigwangwalla alikuwa anasema kinyume, maana hana hata sifa za kuongoza familia yake. Yeye ni chawa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…