johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Chaumbea katika moja na mbili zakoMbunge wa Nzega Dr Kigwangala ambaye ni team Mbowe amefurahishwa sana na Demokrasia ya Chadema katika kuchaguana
Amefurahi akiwa ukurasani kwake X
Ahsanteni sana 🐼
CHAUMMA 🐼Chaumbea katika moja na mbili zako
Mbatizaji hivi hapo Lumumba mnaweza kuruhusu Ali Karume na Husein Mwinyi wagombee umakamu wa mwenyekiti wa ccm upande wa Unguja?Mbunge wa Nzega Dr Kigwangala ambaye ni team Mbowe amefurahishwa sana na Demokrasia ya Chadema katika kuchaguana
Amefurahi akiwa ukurasani kwake X
Ahsanteni sana 🐼
CHAma cha UMbea na MAjungu ndiyo chama lenu siyo wewe na Lucas MwashambwaCHAUMMA 🐼
Weka summaryMatokeo ya uchaguzi wa CHADEMA unaashiria “novus ordo seclorum” kwa chama ama ni “finis temporum”? Shemeji yangu mmoja bwana Mosha anasema ni ‘Mwanzo wa nyakati Mpya’ za siasa nchini. Yeye ni mshabiki wa Lissu. So he is very hopeful juu ya kukua kwa siasa za upinzania. Mimi kila nikitazama naona ni ‘mwisho wa nyakati’ kwa Mhe. Mbowe na upinzania wa CHADEMA. Pengine I am too conservative! Yote kwa yote, time will tell.
Tunahitaji kuona kitakachotokea hizi siku 30 za kwanza za uongozi wa kaka yangu Mhe. Lissu ili kupata jibu sahihi la predictions zetu wachambuzi. Tujue kama ataunganisha chama (maana kura 31 ni margin ndogo sana) ama atalipa kisasi.
Tujue ataendelea na maridhiano ama ataasi kila kitu cha Mbowe. Kama Mbowe naye atakuwa na moyo wa kusamehe na kumsaidia Lissu kazi ama ataamua kutoka jumla na kuwasusia chama.
Time will tell. Uchaguzi umeacha majeraha makubwa sana. Mbowe ana watu wengi na wameumia. Wakiwazodoa na kuwang’ong’a ama wakiwatenga watabaki na option ya kuachana na CHADEMA ama kuacha siasa kabisa. Kiufupi, kufanikiwa kwa Lissu ni kama atamuomba radhi Mbowe na kumshirikisha kwenye uongozi, na kama Mbowe atakuwa radhi kushirikishwa.
Lissu anamhitaji Mbowe kuliko Mbowe anavyomhitaji Lissu. Je, Lissu analiona hili?
Nilifikiri amebubugikwa na machozi kama ya lokasa ya mbongo.Mbunge wa Nzega Dr Kigwangala ambaye ni team Mbowe amefurahishwa sana na Demokrasia ya Chadema katika kuchaguana
Amefurahi akiwa ukurasani kwake X
Ahsanteni sana 🐼
ndio hiyo summary yakeWeka summary
ccm si chama cha kidemokrasia. Hawajawahi kuishi misingi ya kidemokrasiaMbatizaji hivi hapo Lumumba mnaweza kuruhusu Ali Karume na Husein Mwinyi wagombee umakamu wa mwenyekiti wa ccm upande wa Unguja?
Je mnaweza kuruhusu mpambano wa kinyang'anyiro cha mwenyekiti baina ya Kinana na Samia?
Haya ni maoni ya mwanaccm mwenye nongwa. Mbowe hana umuhimu huo kwa Lisu, anayetaka kujiunga na Lisu ajiunge, asiyetaka akae pembeni. Tuko wengi tuliotaka mabadiliko toka 2015 Mbowe alipomuokota Lowassa, ila Mbowe akawa kikwazo. Sasa amepigwa chini kwa kushupaza shingo. Bora tuwe wachache kuliko wengi wanafiki.Matokeo ya uchaguzi wa CHADEMA unaashiria “novus ordo seclorum” kwa chama ama ni “finis temporum”? Shemeji yangu mmoja bwana Mosha anasema ni ‘Mwanzo wa nyakati Mpya’ za siasa nchini. Yeye ni mshabiki wa Lissu. So he is very hopeful juu ya kukua kwa siasa za upinzania. Mimi kila nikitazama naona ni ‘mwisho wa nyakati’ kwa Mhe. Mbowe na upinzania wa CHADEMA. Pengine I am too conservative! Yote kwa yote, time will tell.
Tunahitaji kuona kitakachotokea hizi siku 30 za kwanza za uongozi wa kaka yangu Mhe. Lissu ili kupata jibu sahihi la predictions zetu wachambuzi. Tujue kama ataunganisha chama (maana kura 31 ni margin ndogo sana) ama atalipa kisasi.
Tujue ataendelea na maridhiano ama ataasi kila kitu cha Mbowe. Kama Mbowe naye atakuwa na moyo wa kusamehe na kumsaidia Lissu kazi ama ataamua kutoka jumla na kuwasusia chama.
Time will tell. Uchaguzi umeacha majeraha makubwa sana. Mbowe ana watu wengi na wameumia. Wakiwazodoa na kuwang’ong’a ama wakiwatenga watabaki na option ya kuachana na CHADEMA ama kuacha siasa kabisa. Kiufupi, kufanikiwa kwa Lissu ni kama atamuomba radhi Mbowe na kumshirikisha kwenye uongozi, na kama Mbowe atakuwa radhi kushirikishwa.
Lissu anamhitaji Mbowe kuliko Mbowe anavyomhitaji Lissu. Je, Lissu analiona hili?
Kigwangala kaula wa chuya, werevu game tuliionea mbali, hata ule msuguano wa chawa wa hao viongozi wa CHADEMA ulikuwa scripted to draw people's attention.Sayansi ya siasa ndio hii sasa
😂😂😂😂Jamani Kigwangallah hapitiwi na jambo?