Dr. Kikwete na Katiba

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2011
Posts
12,357
Reaction score
6,424
Mheshimiwa Dr. Kikwete,
Mheshimiwa rais, Katiba ni maridhiano- tumefundishwa mashuleni theories za social contract- Social Contract Theories as expounded by Hobbes, Locke and Rousseau and many others. Rejea maandiko hayo!

Naomba niseme tu kuwa katiba hii itaacha mpasuko mkubwa katika jamii ya watanzania. Umoja , ushirikiano vimetikiswa-mpasuko kama alivyotuasa baba wa taifa. Historia itakuwa juu yako. Litafakari upya. Hatuna haja ya haraka kiasi hicho!
 
Jamaa hawajali wao wanawakomoa CDM kwenye hili la katiba mpya.
 
Katika hili, huyu mzee Dr. Kikwete sijui kalogwa masikini ..!!
 
Unaweza kufanya jambo ukifikiri unatengeneza kumbe unaharibu kwa upande wa katiba ndio anaharibu tokea watelekeza maoni ya wananchi nakuweka katiba ya ccm
 
Enzi za utawala wa wafalme katika uyahudi, mambo yanapokwenda ndivyosivyo wafalme walikuwa wanatafuta manabii na watu wenye hekima katika taifa ili wawashauri.

Naomba Kikwete atumie njia hiyo kwani washauri wake wa sasa wanampotosha na kuzidi kumpoteza. Ningalikuwa mimi ndiye rais, ningeliwaalika maaskofu ikulu waje wanishawishi msingi wa tamko lao kwani tanzania ni yetu sote na katiba ndiyo itakayotuunganisha.
 
unaweza kufanya jambo ukifikiri unatengeneza kumbe unaharibu kwa upande wa katiba ndio anaharibu tokea watelekeza maoni ya wananchi nakuweka katiba ya ccm

nyie inawauma sana kuona katiba hii inayopendekezwa kwamba inaelekea kushinda, jamani tanzania ni yetu sote kuweni wazalendo acheni maneno maneno tena kumtajataja rais kikwete. Kuweni wazelndo kwa nchi yenu.
 
Katika hili, huyu mzee Dr. Kikwete sijui kalogwa masikini ..!!

nyie inawauma sana kuona katiba hii inayopendekezwa kwamba inaelekea kushinda, jamani tanzania ni yetu sote kuweni wazalendo acheni maneno maneno tena kumtajataja rais kikwete. Kuweni wazelndo kwa nchi yenu.
 
nyie inawauma sana kuona katiba hii inayopendekezwa kwamba inaelekea kushinda, jamani tanzania ni yetu sote kuweni wazalendo acheni maneno maneno tena kumtajataja rais kikwete. Kuweni wazelndo kwa nchi yenu.
 
Hivi wasiwasi wenu ni nini kuhusu Katiba Inayopendekezwa! Hii iliyopo wengi hamjui hata rangi yake ikoje. Kwa kuwa mnasikia wenye maslahi binafsi wanasema tusiipigie kura basi nyote mkumbo hao! Hebu chukua muda wako soma Katiba hiyo na uchukue uamzi wako. Utakataaje mchumba kabla hujamwona. Yaani unaenda barabarani na kusema mchumba simtaki, wakikuuliza yupi utajibu nini! Mzee Kikwete kaandika historia kuruhusu kutungwa kwa Katiba Mpya. Halafu wengi mlivyowasahaulifu mlishasahau kuwa ajenda ya Katiba Mpya ilitokana na Vyama vya Upinzani. Kutokana na usikivu wa Rais wetu Mpendwa Dr. JK kuridhia ndio mchakato ukaanza. Sasa ninyi mlioshinikiza Katiba Mpya itungwe au iandikwe ndio mnaikataa, sasa tuwaeleweje!
 
nyie inawauma sana kuona katiba hii inayopendekezwa kwamba inaelekea kushinda, jamani tanzania ni yetu sote kuweni wazalendo acheni maneno maneno tena kumtajataja rais kikwete. Kuweni wazelndo kwa nchi yenu.
Mkuu ndio maana Katiba ni maridhiano, Kwa kuwa nchi ni yetu sote, najua Unatetea kuondolewa kwa maadili ya viongozi ndani ya Katiba. Hili kujenga Taifa lenye uwajibikaji na Utii lazima kuwa na namna ya kuwaadabisha Viongozi, Na hasa hawa viongozi wanaonunua mboga kwa milioni kumi!! Waliojaa Jeuri na kibri kama Nyoka mwenye makengeza!! Wanaotumia Ofisi kujaza pesa nyingi mifukoni mwao!!
 
Inaelekea yeye shule alizosoma yeye na elimu aliyopata ni tofauti na ulizosoma wewe na labda hakuwahi kukutana na hizo theories!
 
Inaelekea yeye shule alizosoma yeye na elimu aliyopata ni tofauti na ulizosoma wewe na labda hakuwahi kukutana na hizo theories!

Mtu yeyote aliyesoma social sciencies- law, sociology, education and the like, hayo utayakuta tena core course! Kikwete amesoma arts- social science, ameyasoma!
 
nyie inawauma sana kuona katiba hii inayopendekezwa kwamba inaelekea kushinda, jamani tanzania ni yetu sote kuweni wazalendo acheni maneno maneno tena kumtajataja rais kikwete. Kuweni wazelndo kwa nchi yenu.

Ebu ndugu yangu tuache ushabiki na acha jaziba. Tuwe wakweli, naomba unijibu kwa hoja za msingi. Hadi sasa (tarehe 18 March) bado mkoa wa Njombe tu zoezi la kuandikisha watu halijakamilika. Tuna siku 12 huu mwezi Machi uishe. Pia ili zoezi la kupiga kura lifanyike tarehe 30 Aprili, zinahitajika siku 30 za elimu kwa umma. Let's say mwezi april wote ndio uwe wa elimu kwa umma. Je hizi siku 12 zilizobaki zitafaa kuandikisha watu nchi nzima kupitia mfumo huu wa BVR? Na ujuavyo, tuache ushabiki, swala la mifumo mipya inakuwa na changamoto zake nyingi tu, huwezi kuepuka hizo changamoto.
Haina haja ya zimamtot kwenye vitu sensitive kama hiki
 
we umesoma katiba ipi? Mbona maadili yamo katika sura ya nne ya katiba inayopendekezwa?!! au mwenzetu unaota au umeishiwa hoja humu ndani? Kama huna hoja we pumzika bwana usije ukaanza kudanganya watu hapa.
 
hatuzungumzii mambo ya bvr hapa tafadhali, nenda kwenye point kabisa usitoke nje ya mada.
 
kwann unasema hivo? Kwani hakuna watanzania tunao ihitaji katiba pendekezwa?
 
Siku hiz mambo yamebadilika mkuu hao manabii na maaskofu sasa hvi wanatukanwa na kudhalilidhwa badala ya kuwakimbilia na kupata ushauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…