Dr Kimei Vs Nsekela: CRDB

Dr Kimei Vs Nsekela: CRDB

Za ndaani kabisa, vitabu vya hesabu vya CRDB haviko vizuri, hizi za ndaani kabisa. Hata uwakilishi wao mahakamani, umekuwa wa kuokoteza, wameacha ku-outsource kutokana na uhaba wa fedha. Hata katika uharaka wa kutoa mkopo wamepunguza, wako kimachale machale hivi.

Halafu Nsekela kakosa ubunifu, benki imepoa, haina products, na haisikiki sana katika media. Ila nasikia anavizia jimbo huko kwao Kagera, na amekopesha BAKWATA kujenga kitega uchumi Bukoba.

Tuombe mungu tu kwenye ajira asijaze wanaopenda maji ya zamzam
 
Za ndaani kabisa, vitabu vya hesabu vya CRDB haviko vizuri, hizi za ndaani kabisa. Hata uwakilishi wao mahakamani, umekuwa wa kuokoteza, wameacha ku-outsource kutokana na uhaba wa fedha.

Halafu Nsekela kakosa ubunifu, benki imepoa, haina products, na haisikiki sana katika media.
Au ccm mmeshakwapua kama kawaida yenu??
 
Bank hii walijazana ndugu ndio chanzo cha kuimaliza , wadada wana nyoda hata ukute madirisha matatu m, moja humkuti mtu ...Hayo mawili wapo slow kinoma mara watoke hawana mpya kwa kweli .

Mishahara ya kawaida kwanza , wanafanya kazi kwa mazoea ..
 
Za ndaani kabisa, vitabu vya hesabu vya CRDB haviko vizuri, hizi za ndaani kabisa. Hata uwakilishi wao mahakamani, umekuwa wa kuokoteza, wameacha ku-outsource kutokana na uhaba wa fedha. Hata katika uharaka wa kutoa mkopo wamepunguza, wako kimachale machale hivi.

Halafu Nsekela kakosa ubunifu, benki imepoa, haina products, na haisikiki sana katika media. Ila nasikia anavizia jimbo huko kwao Kagera, na amekopesha BAKWATA kujenga kitega uchumi Bukoba.

Tuombe mungu tu kwenye ajira asijaze wanaopenda maji ya zamzam
HAHAHHAHAHA MAJI YA ZAMZAM!kama ilivyokuwa NSSF ya DAU
 
Nsekela kaanzisha CRDB BURUNDI, na DRC Kaanzisha CRDB insurance (CIC) na CRDB Foundation ameikuza CRDB sasa ni biggest bank by asset! Kwa hiyo apewe maua yake.

NMB wanategemea zaidi wafanyakazi wa serikali almost 80% ya wafanyakazi wana account NMB
 
Back
Top Bottom