Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna tetesi kuwa Dr Kitila Mkumbo wa chuo kikuu cha Dar es salaam atagombea ubunge wa jimbo moja wapo mkoa wa Singida kupitia Chadema.

Natumaini ujumbe umefika na lisemalo lipo kama halipo laja,sio kuwa sipendi au sitaki agombee kwani kugombea ubunge ni haki ya raia
Crazy...ujumbe upi?
Kuna tetesi kuwa Dr Kitila Mkumbo wa chuo kikuu cha Dar es salaam atagombea ubunge wa jimbo moja wapo mkoa wa Singida kupitia Chadema.
Kuna tetesi kuwa Dr Kitila Mkumbo wa chuo kikuu cha Dar es salaam atagombea ubunge wa jimbo moja wapo mkoa wa Singida kupitia Chadema.
Kuna tetesi kuwa Dr Kitila Mkumbo wa chuo kikuu cha Dar es salaam atagombea ubunge wa jimbo moja wapo mkoa wa Singida kupitia Chadema.
sawa kabisa!!! Hili alihitajika kulikamilisha tangu miaka mitano iliopita.
Huyu kijana mwenzetu kichwa tena yupo na yule bwana aliyekua makamu wake daruso enzi hizo naye ndio moto kabisa kiasi kwamba wakija kuingia pale mjengoni dodoma basi kuna haja tukalifikirie walau mtu mwenye masters degree ya sheria kuwa spika na naibu na wala si kuliacha bunge liwe linajiendea tu kwa kudra za mwenyezi mungu kama hali ilivyo hivi sasa.
Nasema wanaomfahamu vema huyu bwana; ndni mwake ni sawa na wabunge 10 wale wa chama cha kupiga kelele za 'ipiteeeeeee!!!!!!' kule mjengoni dodoma.
Mchungaji gani unaandika vi2 utafikiri sio m2 mzima,jiheshimu ndugu yangu.

Fucha upumbavu wako yupo Jf anaweza kujisemea
Kwanzi ni haki yake kikatiba, na namfahamu, ni mtu mwenye uwezo mkubwa, aendelee na maandalizi.:israel: