Dr Kitila Mkumbo kugombea ubunge Singida 2015

Landala

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2010
Posts
997
Reaction score
478
Kuna tetesi kuwa Dr Kitila Mkumbo wa chuo kikuu cha Dar es salaam atagombea ubunge wa jimbo moja wapo mkoa wa Singida kupitia Chadema.
 
Reactions: Ame
Kuna tetesi kuwa Dr Kitila Mkumbo wa chuo kikuu cha Dar es salaam atagombea ubunge wa jimbo moja wapo mkoa wa Singida kupitia Chadema.

1. Source of the info
2. Ni nani tu anaepaswa kugombea Ubungo tena Singida? It sounds like Dr. Mkumbo hapaswi kwa maana hana sifa za kugombea au hatoweza kupata na akipata hawezi fanya mambo mazuri/kuwatetea waliomchagua au kuwa UDSM hutakiwi kugombea.....

Wake up Landala.......... Achana na tetesi, bring facts.... JF is a home of GTs........
 
Kuna tetesi kuwa Dr Kitila Mkumbo wa chuo kikuu cha Dar es salaam atagombea ubunge wa jimbo moja wapo mkoa wa Singida kupitia Chadema.

Punguzeni pumba! Tetesi tetesi mimi ni baba yako
 
This is home of GT my friend! Hata tetesi lazima iwe na mashiko na sio ikae kiudaku udaku halafu unataka tuchangie! Unajishushia heshima yako!
 
Kuna tetesi kuwa Dr Kitila Mkumbo wa chuo kikuu cha Dar es salaam atagombea ubunge wa jimbo moja wapo mkoa wa Singida kupitia Chadema.

Huo ushankupe pelekeni kwa mabahasha wenu.
 
Natumaini ujumbe umefika na lisemalo lipo kama halipo laja,sio kuwa sipendi au sitaki agombee kwani kugombea ubunge ni haki ya raia
 
Sawa kabisa!!! Hili alihitajika kulikamilisha tangu miaka mitano iliopita.

Huyu kijana mwenzetu kichwa tena yupo na yule bwana aliyekua makamu wake DARUSO enzi hizo naye ndio moto kabisa kiasi kwamba wakija kuingia pale mjengoni Dodoma basi kuna haja tukalifikirie walau mtu mwenye Masters degree ya sheria kuwa Spika na Naibu na wala si kuliacha bunge liwe linajiendea tu kwa kudra za mwenyezi Mungu kama hali ilivyo hivi sasa.

Nasema wanaomfahamu vema huyu bwana; ndni mwake ni sawa na wabunge 10 wale wa chama cha kupiga kelele za 'IPITEEEEEEE!!!!!!' kule mjengoni Dodoma.
 
Kuna tetesi kuwa Dr Kitila Mkumbo wa chuo kikuu cha Dar es salaam atagombea ubunge wa jimbo moja wapo mkoa wa Singida kupitia Chadema.

Dalili za makaka poa na ushoga huu!
 
Kuna tetesi kuwa Dr Kitila Mkumbo wa chuo kikuu cha Dar es salaam atagombea ubunge wa jimbo moja wapo mkoa wa Singida kupitia Chadema.

Kwanzi ni haki yake kikatiba, na namfahamu, ni mtu mwenye uwezo mkubwa, aendelee na maandalizi.:israel:
 
mkuu umenichekesha sana aisee unamaanisha capten komba! Na magamba group
 
Please acheni kuendekeza majungu,kama unamtaka agombee mwambie sio kwa staili kama hii,kwanza umenitoa kwenye mudi ya kutafakari kifo cha Osama.
 
Huyu ni moja wa marafiki zangu ni sawa na wabunge 20 wanaolala bungeni wa chama x. Ana akili na hekima sana. Mimi naunga mkono hoja, tena itakuwa ni vizuri sana kwa faida ya chadema. Singida yake ni karibu na kwetu, akinikaribisha nitaenda kumpigia kampeni pia.
 
kwa sasa hii tuite porojo au uvumi
ila kuwa makini unapoandaka habari za watu makini kama mkumbo

Mchungaji gani unaandika vi2 utafikiri sio m2 mzima,jiheshimu ndugu yangu.

Fucha upumbavu wako yupo Jf anaweza kujisemea

Kwanzi ni haki yake kikatiba, na namfahamu, ni mtu mwenye uwezo mkubwa, aendelee na maandalizi.:israel:

Kuna tetesi kuwa Dr Kitila Mkumbo wa chuo kikuu cha Dar es salaam atagombea ubunge wa jimbo moja wapo mkoa wa Singida kupitia Chadema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…