anaainisha mapungufu ya tafiti ya redet na synovate kwamba yako tofauti na tafiti zingine kama zao na za online na hata tafiti za magazti. anahoji kwa nini zimepata upinzani mkubwa toka kwa jamii .anahöji vigezo na sampling ya watu waliohojiwa. anasema kama mtu anakuja na utafiti kwamba asilimia 30 tu ya TZ ndio masikini watu watauliza utafiti umeufanya masaki?