OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Na watamuacha tu, unadhani watamfanyaje mtu tajiri kama huyo?Polis si wamuache huyo dingi huyo ding asepe
Du????kweli bongo bahati mbaya!View attachment 628117
Mnunuzi wa nyumba za Lugumi zilizopigwa mnada na Kampuni ya Yono Auction Mart kufidia deni la TRA, Dr.Luis Shika amekanusha vikali madai ya polisi kwamba alikusudia kufanya utapeli kwenye mnada wa uuzwaji wa nyumba hizo.
Dr.Shika ameshangaa polisi kumlisha maneno kwamba alitamka milioni 700, 800 na 900, wakati ukweli alitamka 900 lakini sio milioni. "Ni kweli nilipanga kununua nyumba zote tatu, na kwenye mnada nilitamka fedha 700, 800 na mwisho 900. Hakuna popote niliposema milioni 800 au milioni 900" Amesema Dr.Luis Shika aliyejipatia umaarufu siku za karibuni kutokana na sakati hilo.
Asifanye watu wajinga, ina maana yeye ndie alikuwa wa kwanza kutaja hizo bei. Mnadani bei huanza kutangazwa k uanzia chini na inapanda, sasa kama imefikia milioni 600 na yeye akatamka 700, sio kwamba wanarudi chini kuanza tena kwa tshs 700 ni mwendelezo wa ile milioni 600, hivyo ni milioni 700. Kisheria anaweza kuwa na mashiko, ila si katika mazoea ya kuendesha minada.
Lakini huo ni mchezo wa Lugumi amepandikiza watu waharibu mnada anajiandaa kukomboa nyumba zake
Nadhan source ni ephraim kibondeSource ya hiyo habari ikipatikana nitarejea
Tatizo ni yono wamekataa milioni 810 wamekubali 900 sasa kwanini wamsumbue dr,labda awe hana hizo 900