Dr. Luis Shika: Hakuna popote niliposema milioni 800 au milioni 900 nilisema mia Tisa(900)

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hiv kuharibu mnada huo madhara Yake ni nin na kisheria Vp imeaakaje je ana haki au hana
 
Huyu jamaa sio mtu wa Ku ignore ni mafia wa kuwango cha juu ana confidence sio mchezo
 
Mwenzenu. Amewatajia Mia 900. Mkawa mnamchekea tu na kumpepea juu. Kumbe alikuwa anawachora tu.
Kimoyo moyo anasema. Leo mtafurahi na roho zenu.
 
Kama uliweza kusikiliza mwnzo wa mnada yule mama alikaribisha offa jamaa akasema cjui mil300 cjui alisema 300 sina kumbukumbu so bei ya kwnz siyo kwmb walisema yono
Jamaa alisema 400. Yaani mia nne
 
Watamwelewa tu dr Shika. Keshawashika pabaya sasa [emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…