britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Chadema bado hawajafanya uchaguzi, lakini msomi sana Dr. Lwaitama ameishaona fraud and criminal kwenye uchaguzi ambao bado kufanyikaKupitia ukurasa wa X wa Jamaa anayeitwa Dr lwaitama kaandika kuwa
“CDM Election fraud is far more consequential &criminal than that of CCM,one of elites commented on our views on 2020 Election,that “were lies and preemptive unsubstantiated allegations of voting fraud because it riped off the gullible voters that put CCM back in office”
View attachment 3182650
Britanicca
Uchaguzi umeishaChadema bado hawajafanya uchaguzi, lakini msomi sana Dr. Lwaitama ameishaona fraud and criminal kwenye uchaguzi ambao bado kufanyika
NdioooBado hajasema
PL 111 aliyokufundisha ndiyo imekufanya kuhitimisha kwamba mkewe alimkimbia kwa sababu alikuwa anatoa maksi isivyostahili kwa watoto wa kike?Tumuumbue kwa watoto wa kike UDSM aliokuwa anawapa maksi bila stahili? Au basi, ilifikia point mkewe akagoma kumpikia, kwa hiyo salary yake ikabidi awe anaigawa kwa watoto kila mtu akale chips survey au Mwenge
Jitahidi utumie akiliPL 111 aliyokufundisha ndiyo imekufanya kuhitimisha kwamba mkewe alimkimbia kwa sababu alikuwa anatoa maksi isivyostahili kwa watoto wa kike?
Kwa kuwa unajua ninayo but wewe huna hata hiyo akiliJitahidi utumie akili
Za kuvukia barabara unazoKwa kuwa unajua ninayo but wewe huna hata hiyo akili
Sawa Mrs Lwaitama, watoto wa UDSM ndio hivyo wamekuchukulia mmeZa kuvukia barabara unazo