Dr Lwaitama: Ukiona mgombea anawanunua hadi akina Kigogo 2014 wamtangaze watu ambao wameshakosa Legitimacy, Kaisha!

Ametoa angalizo Dr Lwaitama Ukurasani kwake X

Ukiona mgombea anawanunua hadi akina Kigogo wamtangaze, Kaisha huyo

Ila sijajua hapo Chadema nani kamnunua Kigogo 🐼
Bila shaka genge lako/lenu la mwamba wazamishe.
 
Kutangaza / kutangazwa ndio siasa za sasa duniani (siasa za maji taka)..., kwahio kama atachaguliwa asiyefaa basi wa kulaumu ni wachaguaji au mfumo wa uchaguzi sio atakayechaguliwa kwa kutumia mfumo uliopo...

Hivi Demokrasia tunayotaka inafananaje ?

Ametoa angalizo Dr Lwaitama Ukurasani kwake X

Ukiona mgombea anawanunua hadi akina Kigogo wamtangaze, Kaisha huyo

Ila sijajua hapo Chadema nani kamnunua Kigogo 🐼
Ni mbowe.. na huyo kigogo anamuita lissu CHIBA.
kejeli mbaya sana
 
Ametoa angalizo Dr Lwaitama Ukurasani kwake X

Ukiona mgombea anawanunua hadi akina Kigogo wamtangaze, Kaisha huyo

Ila sijajua hapo Chadema nani kamnunua Kigogo 🐼
Wanafiki wanatapatapa.

Kukiwa na, jambo watu mbalimbali huwa,wana maoni yao sasa mtu akiona fulani anafaa na fulani hafai haina maana huyo anayefaa amemnunua..

Kigogo kama mtanzania,mwingine naye ana haki ya kumuona fulani anafaa na mwingine hafai lakini hiyo siyo uthibitisho kuwa kahongwa.

Msomi kama Lwaitama kuwa na 'made up information' kuhusu jambo ambalo halifahamu ni poor intellectualism.
 
Hivi mpaka leo Kigogo2014 hajajulikana ni nani hasa?????.
 
Wanafiki wanatapatapa.

Kukiwa na, jambo watu mbalimbali huwa,wana maoni yao sasa mtu akiona fulani anafaa na fulani hafai haina maana huyo anayefaa amemnunua..

Kigogo kama mtanzania,mwingine naye ana haki ya kumuona fulani anafaa na mwingine hafai lakini hiyo siyo uthibitisho kuwa kahongwa.

Msomi kama Lwaitama kuwa na 'made up information' kuhusu jambo ambalo halifahamu ni poor intellectualism.
🎯 🎯 🎯 :AweeWoo:
 
Back
Top Bottom