Dr Malisa: Rais Samia ametukosea, anatakiwa ajiuzulu

Dr Malisa: Rais Samia ametukosea, anatakiwa ajiuzulu

Siamini kama huyu jamaa yuko peke yake, kuna wengi nyuma yake
 
Siamini kama huyu jamaa yuko peke yake, kuna wengi nyuma yake
Acha uoga,

Siku hizi vijana wamekuwa waoga wanazidiwa na wazee aina ya Mzee huyo na judge Warioba,

Tusimamie Kweli na HAKI,

HOFU ni DHAMBI.
 
dar es salaam jazz waliimba 'mtoto acha kupiga mayowe acha watu waje waone wenyewe'
 
Sio mbaya kutafuta umaarufu, Raisi Samia ni Nuru hivyo Kila mmoja anajitahidi kwa namna yake kujikaribisha kwenye Nuru hii Ili nao ang'ae. Endelea mwamba, utang'ara.
 
Back
Top Bottom