Nyati
JF-Expert Member
- Mar 6, 2009
- 2,521
- 1,906
Wanajamii,
Naomba mtu yeyote mwenye kujua jinsi ya kuwasiliana na Dr. Massawe aliyekuwa anaendesha hospitali ya THI. Kama kuna mtua anayefahamu anakofanya kazi siku hiuzi tafadhali anifahamishe, natanguliza shukrani. Ombi hili kwa ajili ya matibabu ya jamaa yangu