Sildenafil Citrate
JF-Expert Member
- Jan 29, 2021
- 577
- 2,595
Kupitia Ukurasa wake Rasmi kwenye mtandao wa twitter, Wakili Dr. Miguna Miguna amesema kuwa Rais mpya wa nchi hiyo William Ruto amemrejeshea hati yake ya kusafiria baada ya Serikali ya nchi hiyo kuishikilia kwa siku 1687.
Katika maelezo yake, Dr. Miguna amewatuhumu watu kadhaa wakiwemo Raila Odinga kuwa walishirikiana na Serikali katika kuraribu kadhia hii.
Kwa sasa yupo tayari Kurudi Kenya, lakini anasubiria hakikisho la Usalama wake kutoka kwa Rais Ruto.
Mgogoro wa Dr. Miguna Miguna na Serikali ya Kenya ulianza baada ya kumwapisha Raila Odinga kuwa Rais wa nchi hiyo huku mshindi halali anayetambuliwa akiwa ni Kenyatta.