Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,551
- 2,153
Aliyedaiwa kuwa ni "FISADI WA ELIMU" Dr.Milton Makongoro Mahanga amefungua Civil case No.145 ya mwaka 2009 dhidi ya;
1.KAINERUGABA MSEMAKWELI.
2.MUHIBU SAIDI.
3.MANAGING EDITOR,NIPASHE.
4.THE GUARDIAN LTD.
Kesi hiyo itatajwa tarehe 23/03/2010
SOURCE:Tangazo lililopo katika gazeti la Daily News Tar.26/12/2010 uk.26
Natafuta Tusker zangu Bariiiidi!!!...na supu ya pweza...huku nikiisubiria Movie hii kali...
hapo umenena, anacheza na muda, ila ataumbuka tu, ni fisadi la elimu, wakala wa kina Rostam na Mafisadi papa hapa TZHuo ni ujanja wa kuzuia hilo suala lisijadiliwe tena kwa kuwa 'kesi iko mahakamani, na kuijadili ni kuingilia uhuru wa mahakama'. Na kesi itaendelea kuwa mahakamani hadi jamaa ashinde ubunge 2010, halafu itamalizwa 'kishkaji', au itakuwa tu haisikiki tena.
Huo ni ujanja wa kuzuia hilo suala lisijadiliwe tena kwa kuwa 'kesi iko mahakamani, na kuijadili ni kuingilia uhuru wa mahakama'. Na kesi itaendelea kuwa mahakamani hadi jamaa ashinde ubunge 2010, halafu itamalizwa 'kishkaji', au itakuwa tu haisikiki tena.
aaah Gabu,Jamani msiendelee kujadili humu, kwa kuwa kesi iko mahakamani. Kuendelea kulijadili ni kukiuka sheria na kuingilia uhuru wa mahakama. Mimi sijadili tena. 😀
- Great Thinkers tunatakiwa ku-applaud mwananchi yoyote au hata kiongozi anapokimbilia kwenye sheria kwanza, badala ya kulia lia majukwaani na kwenye media, au kwenye compromise za wananchi jimboni.
- Mahanga ni lazima aheshimiwe kwa kitendo kwa sababu ndio mfano bora kwa wengine wote na ndivyo alivyofanya Dr. Salim aliandikwa upuuzi na majungu akawatangulia kwenye sheria gazeti likahukumiwa kumlipa Shilingi Millioni 500 kidogo lifungwe kama sio huruma yake Salim kuwasamehe, sasa hapa sheria inataka kuchukua mkondo wengine tena mnabeza, hivi huwa mnataka nini hasa!
- I mean sometimes tunakua kama walevi bwana, Msemakweli ameandika habari ya kuwadhalilisha viongozi, mmoja wao ameamua kwenda kwenye sheria, eti mlitaka aende wapi kwa Rais au vikao vya NEC na CC?
- Sometimes tunawachanganya sana wananchi na hizi Great Thinking!
Respect.
FMEs!