Dr Mollel anafaa kuwa Boss UNICEF HQ

Dr Mollel anafaa kuwa Boss UNICEF HQ

Mheshimiwa Msomi Dr Mollel, G (DDS)anafaa kuongoza taasisi ya umoja wa Mataifa kuhusu watoto (UNICEF). Kama Taifa tumpe support stahiki.
Watanzania kuweni na akili sometimes....

Huyo Dr Mollel hiyo minyoo yake apeleke UNICEF kweli? Mtu mwenywe tu kwa muonekano anaonesha unyafuzi wa hali ya juu achilia mbali akifungua mdomo wake kuongea!!

Mnapenda kujitia aibu sana yaani mmekosa watu kiasi cha kwenda kuitangaza nchi na watu wenye minyoo sugu? Haha nchi ina watu wa hovyo sana hii !!
 
Back
Top Bottom