Dr Mpango: Sensa ya Watu na Makazi inaonyesha 77% ya Watanzania ni Vijana, Mimi Sasa nakwenda kuandika Vitabu vya kuisaidia Mama Tanzania!

Amekuwa lecture uuniversit (meandika na kusoma sana vitabu), amekuwa mbunge, amekuwa waziri wa fedha, amekuwa makamu wa rais, kote huko ameshindwa kuwasaidia watanzania,? halafu leo ndiyo anakuja kuwaambieni sasa anakwenda kuandika vitabu vya kuisaidia mama Tanzania? Hizo nafasi na fursa zote alizopata alizitumia kumsaidia nani?
 
Amekuwa lecture uuniversit (meandika na kusoma sana vitabu), amekuwa mbunge, amekuwa waziri wa fedha, amekuwa makamu wa rais, kote huko ameshindwa kuwasaidia watanzania, halafu leo ndiyo anakuja kuwaambieni sasa anakwenda kuandika vitabu vya kuisaidia mama Tanzania? Hizo nafasi na fursa zote alizopata alizitumia kumsaidia nani?
Amesaidia sana,,hasa wakati wa magufuri kwa kuanzia miradi ya kielelezo.Tungeanza zamani mgumo wa miradi ya kielezo sasahivi tungekuwa tunahali Bora sana
 
Kama Vijana Wenyewe wanaofikisha hiyo 77% ni akina Lucas Mwashambwa basi hiyo. Mama Tanzania bado ina safari ndefu mno

Mlale Unono 😄
Dr Mpango Yuko sahihi sana

Tuombe bunge lijalo vijana wawe wengi sana wazee wapumzishwe

Serikali inatakiwa kuwa ya majority sio minority

Hivyo vizuri CCM kuchuja wagombea ubunge na udiwani na viti maalumu ijipange kwenye hilo asilimia kubwa.wawe vijana sababu wapiga kura wengi ni vijana

Mama Samia take note na .kamati kuu

Umeanza vizuri na Nchimbi kumchagua makamu Mwenyekiti nenda kwenye kuchuja wabunge na madiwani wazee wapumzishe tu wakiwepo wawe wachache mno na kwa sababu zileeeeee

Wanaoelewa wanaelewa
 
Amekuwa lecture uuniversit (meandika na kusoma sana vitabu), amekuwa mbunge, amekuwa waziri wa fedha, amekuwa makamu wa rais, kote huko ameshindwa kuwasaidia watanzania, halafu leo ndiyo anakuja kuwaambieni sasa anakwenda kuandika vitabu vya kuisaidia mama Tanzania? Hizo nafasi na fursa zote alizopata alizitumia kumsaidia nani?
Mipumbavu kama hii nayo utasikia inalalama kukosa ajira, ukaajiriwe ufanye kazi gani kilaza wewe!

Hata kazi aliyoanzia samia masjala huwezi kuimudu.
 
Hahahahahahahaaa
Alaaaaaa!
PUNGUZA MAKASIRIKO TWENDE NAO HIVO..
USIMTENGE MTU KISA HAJAOKOKA, NENDA NAYE HADI AFANANE NA WEWE!
 
Amekuwa lecture uuniversit (meandika na kusoma sana vitabu), amekuwa mbunge, amekuwa waziri wa fedha, amekuwa makamu wa rais, kote huko ameshindwa kuwasaidia watanzania, halafu leo ndiyo anakuja kuwaambieni sasa anakwenda kuandika vitabu vya kuisaidia mama Tanzania? Hizo nafasi na fursa zote alizopata alizitumia kumsaidia nani?
Mheshimiwa Mpango amefanya mengi ya kuwasaidia watanzania, kazi zake ni mbegu iliyomea kuanzia kufundisha chuoni hadi makamu wa Rais. Wapo wengi walioguswa na kufaidi utumishi wake kwa namna moja au nyingine. Lazima aheshimiwe na siyo kumbeza.
 
Amekuwa Lecturer siyo " Lecture" ! Acha kukariri mambo!
 
Amekuwa lecture uuniversit (meandika na kusoma sana vitabu), amekuwa mbunge, amekuwa waziri wa fedha, amekuwa makamu wa rais, kote huko ameshindwa kuwasaidia watanzania, halafu leo ndiyo anakuja kuwaambieni sasa anakwenda kuandika vitabu vya kuisaidia mama Tanzania? Hizo nafasi na fursa zote alizopata alizitumia kumsaidia nani?
Unaupimaje mchango wake?
 
Vijana wana hasira kwa sababu ya maisha magumu! CCM ichukue tahadhari kwenye uchaguzi.
Otherwise iendelee kutumia vyombo vya Ulinzi na Usalama kuiweka madarakani.
 
Mheshimiwa Mpango amefanya mengi ya kuwasaidia watanzania, kazi zake ni mbegu iliyomea kuanzia kufundisha chuoni hadi makamu wa Rais. Wapo wengi walioguswa na kufaidi utumishi wake kwa namna moja au nyingine. Lazima aheshimiwe na siyo kumbeza.
Hayo ukamwambie yeye. Maana hiyo ni kauli yake. Soma vizuri hicho anachodaiwa kukiongea.
 
Mipumbavu kama hii nayo utasikia inalalama kukosa ajira, ukaajiriwe ufanye kazi gani kilaza wewe!

Hata kazi aliyoanzia samia masjala huwezi kuimudu.
Acha kujitia ujuaji mpumbavu wewe. Usipende kukurupuka kujibu hoja ambazo haujazielewa.
RUwe unasoma ili kuelewa badala ya kusoma ili mradi tu na wewe ujib.
 
Back
Top Bottom