Dr msaada jamani nna wasi wasi.

Dr msaada jamani nna wasi wasi.

Mangimeli

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2011
Posts
1,151
Reaction score
286
Eh bwana ndugu daktari sipati choo kabisa yani leo nna siku ya tano na nakula ni balaa,ila sasa najamba sana,yani nikiachia kijambo apa mpaka nyumba ya pile, waliniambia nile matunda, munda nakula sana ila bado.
 
Oya kama upo siriazi na hilo tatizo kunywa ukwaju ile juice iwe kali then wait u will see
 
Mi si Dr ila maziwa ya mgando huwa yanasaidia sana. Jenga tabia ya kuyanywa mara kwa mara, ukiweka hapo na mboga za majani na matunda (papai lina majibu ya haraka zaidi) bila kusahau maji kila kitu kitakuwa sawa. Pole na kila la heri
 
nilishawahi kupata tatizo kama hilo kuna vidonge nilipewa sivikumbuki ila Papai na Parachichi ni tiba tosha kabisa
 
Oya kama upo siriazi na hilo tatizo kunywa ukwaju ile juice iwe kali then wait u will see
Ni kweli kabisa, mimi nilikunywa siku moja sitakaa nisahau ilipoanza kufanya kazi. Nilianza kwa kuota nakufa then maporomoko yakaanza.
Fanya ka nusu litter hivi na iwe nzito so uloweke ukwaju mwingi na hakikisha unatumia maji safi na salama ya kunywa, pia nakushauri siku hiyo iwe ijumaa or Jmosi siku ambayo hauendi job na ulale peke yako cz bahati mbaya inaweza kukukuta naukachelewa kuamka kitandani mambo yakabadilika.
Asubuhii kunywa uji wa ulezi na Matunda. Hakika utanirudi kuishukuru hii.
Pole sana
 
Back
Top Bottom