Eh bwana ndugu daktari sipati choo kabisa yani leo nna siku ya tano na nakula ni balaa,ila sasa najamba sana,yani nikiachia kijambo apa mpaka nyumba ya pile, waliniambia nile matunda, munda nakula sana ila bado.
Mi si Dr ila maziwa ya mgando huwa yanasaidia sana. Jenga tabia ya kuyanywa mara kwa mara, ukiweka hapo na mboga za majani na matunda (papai lina majibu ya haraka zaidi) bila kusahau maji kila kitu kitakuwa sawa. Pole na kila la heri
Ni kweli kabisa, mimi nilikunywa siku moja sitakaa nisahau ilipoanza kufanya kazi. Nilianza kwa kuota nakufa then maporomoko yakaanza.
Fanya ka nusu litter hivi na iwe nzito so uloweke ukwaju mwingi na hakikisha unatumia maji safi na salama ya kunywa, pia nakushauri siku hiyo iwe ijumaa or Jmosi siku ambayo hauendi job na ulale peke yako cz bahati mbaya inaweza kukukuta naukachelewa kuamka kitandani mambo yakabadilika.
Asubuhii kunywa uji wa ulezi na Matunda. Hakika utanirudi kuishukuru hii.
Pole sana