Dr Mumbi: IMF met Magufuli and admitted the report on Tanzania's economy half baked

nakuelewa ila sio wewe pekee, ni wengi tu waliozoea kujitafutia za kando sababu mshahara hutoshi ikiwemo wana CCM.
Kuna haja ya kuongeza Mzunguko wa pesa lakini sasa kwa mbinu mbadala sio black market..Mbinu mpya ni viwanda japo zinakuwa kwa kasi ya chini sana
 
Ukifuatilia my previous comments utaona kuwa nilisema. Its not bad at all to use those policies to correct the defficciencies in the economy but lazma waangalie well being ya watu. Yawezekana ni foundation inatengenezwa maana amejikita katika transportation and electricity which i can collectively call them as one of the major setbacks of our economy lakini CAG report imeleta redflags nyingi sana
 

Hivi wewe bado una imani na serikali hii ya awamu ya 5?

Kama ndiyo basi imepotezwa.

Serikali makini ipo wazi (transparency) kwamba ipo tayari kuulizwa na kuwa challenged na takwimu zake.
Mtu Yeyote anayekataa kukosolewa ni dicteta.

Leo hii serikali ina zuia uhuru wa habari kwa kutunga sheria za kuminya uhuru wa kujieleza.

Leo hii ni marufuku kupinga takwimu za serikali.

Leo hii ni marukufku kufanya utafiti wowote kuhusu nchi hii mpaka kibali cha serikali.

Leo hii ni marufuku bunge la wananchi kuonyeshwa live isipokuwa mpaka habari zichujwe na Bunge.

Leo hii serikali imekuwa ikitumia matumizi ovyo ovyo bila kufuta utaratibu wa kibajeti.

Leo hii hata kama katiba ya JMT inaruhusu Serikali inapiga marufuku mikutano ya Vyama vya upinzani.

Kama wako makini na takwimu zao, kwa nini wanakataa kukosolewa?

Tundu lisu yupo wapi.
Ben saanane yupo wape
Mwandishi Azori yupo wapi.
Mdude yaliyomkuta
nk.

Imefika mabali hata inapinga report za mashirika makubwa kama IMF
Hili la IMF linatokana na hii tabia ya kuficha ficha mambo na uhuru kwa kujieleza/ kuminya ukweli na uwazi.

Hii nchi kwa sasa ni kukaa kimya na kusikiliza kipi kinasemwa na serikali na sio kupinga.

Yajayo yanafurahisha!
 
 
Mambo magumu kwako jombaa
Si wengine tunatamani huyu jamaa aongezewe miaka 20 aendelee kuwa raisi
 
Kwenye budget yoyote ya nchi ni vyema kuwa na recurrent expenditures kubwa kuliko development budget.
🤔 Nilifikiri ni bora zaidi kuwa na development budget kubwa kuliko recurrent budget ili kukuza uchumi.
 

Namba unazotaka mwenzio akuonyeshe zimebanwa na Statistics Act iliyopitishwa. Kwa sasa hivi statistics zote halali mtakazotumia zitatoka "source" moja. ☹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…