Dr. Mwaka kafuatilie vizuri kisa cha Malcolm X.

Planett

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2014
Posts
10,497
Reaction score
16,180
Ni matumaini yangu wote ni bukheri wa afya,

Nimejaribu kufuatilia huu mtifuano kati ya TABIBU Mwaka na viongozi wa dini (especially waislamu). Kitu kimoja ambacho Mwaka hajang'amua ni kwamba anachoongea ni sahihi 100% ila kuwasema viongozi wa dini hadharani ni mistake kubwa sana amefanya.

Miaka ya nyuma Malcom X alipenyezewa habari na kijana mmoja aitwaje Wallace Muhamad mtoto wa Elijah Muhamad ambae huyu bwana Elijah alikua ni kiongozi wa Nation of Islam kule marekani. Aliambiwa kwamba Elijah alikua na kawaida ya kujihusisha kimapenzi na wasaidizi wake wa kike na ameshazaa nao kadhaa. Kusikia hivyo Malcom akawatafuta wale wadada akawauliza kuhusu zile habari na akajiridhisha kua ni kweli.

Kosa ambalo Malcolm alilifanya na ambalo bila shaka liligharimu uhai wake ni kutoka in public na kuanza kutangaza kwamba kiongozi wake wa kiroho anazini wa secretaries wake. Hii iliwaghadhibisha sana miongoni wa members wa Nation of Islam akiwamo mtuhumiwa mwenyewe bwana Elijah. Sasa kwa sababu alimchafua kiongozi wa kidini wapo wafuasi wake ambao hawakua tayari kuvumilia lile jambo na mwisho wa siku kila mtu anajua ni nini kilimpata Malcolm.

Back to tabibu Mwaka, ajue na akubali kua amebugi step kama hajaomba radhi aombe mapema before it's too late. I believe ashaona kua kuna kundi kumwa miongoni mwa jamii ya waislam hawajafurahishwa na maongezi yake.
 
Acha upumbavu kama ni kweli na ibaki ivyo ivyo zama za kijinga jinga hazitakiwi miaka hiii
 
tumezoea kuambizana uongo uongo tu, atakayesema ukweli siku zote atachukiwa.

mwaka amesema ukweli na ubaki hivyo.
 
Hao wote ni watoto wa mujini bwana mdogo..

Ushajiuliza nani yuko nyuma ya Mwaka?

Haujiulizi kwa nini Mwamposa yuko kimya pamoja na kutajwa live na Shehe Alhad?

Hivi unawajua kina "Mwa" kwa mambo yetu yale? (Mwamposa + Mwaka).

Hivi ushajiuliza huyu "Mwaka na Mwamposa" wana uhusiano gani?

Kaa kimasta mdogo angu mwaisa, agiza na popcorn au gahawa kabisa maana mechi bado mbiiiichi hii 📢📢📢
 
Hawa viongozi wa mchongo ndio wanaupaka uchafu UISLAM, kiongozi wa dini ni kioo, ni mjumbe wa dini.. Hatukatai kukosea ndio ubinadamu huo.

Ila masheikh wengine hawa errors ni blunders kabisaaa.
 
Back
Top Bottom