hii ni post ya mwanjf mwenzetu
Sasa ni wakati muafaka kwa huyu mama kuolewa kwa mara ya kwanza, maana kuendelea kukaa bila mume ni hatari sana kijamii.
october 2012
nani alisema ni mpya?kwa nini unataka iwe mpya?[
aliyepost ndiye anataka iwe mpya wakati ni ya zamani...
Dah kitambo sana, ila POMBE keshafanya yake muda mfupi uliopitaKwa umri wako na familia uliyotokea sina shaka umesomeshwa vizuri kwa fedha za wavuja jasho (namaanisha pesa iliyokusomesha siyo ya ccm) Sasa fanya kazi upambane haswa ukielimisha wanawake.