Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
Drama at workView attachment 2588545
Kuna wakati hapa niliweka mada kuhusu huyu binadamu wa ajabu. Mtu usipomfuatilia utamwona wa kawaida sana, ila ukianza kumsikiliza utagundua ana mambo mengi. Dr. Myles hata alipokuja Tanzania nilibaki kumsikia tu na kuona mabango yake na kupotezea. Nillipokuja kuanza kumfuatilia youtube na vitabu vyake ndio nikaona kwa kweli niko shallow sana kidunia na kiroho. Sijajua watu kama hawa wanapataje ufunuo mkubwa hivi.
Mada ambayo sikujua iliishia wapi nilijaribu kuuliza ilikuwaje akafa? Kweli kifo chake kilikuwa ni wito wa Mungu au ni matakwa ya binadamu? Kuna watu hujiulizi mara mbili kuwasikiliza na kuwafuatilia. Apumzike kwa amani
Huyu mwamba alikufa yeye na mke wake kwenye ajali ya ndege huko Bahamas 2014.Mada ambayo sikujua iliishia wapi nilijaribu kuuliza ilikuwaje akafa? Kweli kifo chake kilikuwa ni wito wa Mungu au ni matakwa ya binadamu?
Huyu pastor naye yupo vizuri sanaUkipata muda mtafute pastor mmoja anaitwa MENSA OTABIL...utakuja kunishukuru ingawa Monroe ni sayari nyingine
Daaaaa nakumbuka Kifo chake ni Miezi michache tu tangu alipokuja na kuondoka Tanzania.
Huyu mwamba alikufa yeye na mke wake kwenye ajali ya ndege huko Bahamas 2014.
Ndege iligonga crane kwenye eneo la maegesho ya meli wakati inatua.
Sidhani kwamba hicho kifo kilikuwa na mkono wa mtu.
Jamaa alisema wazi anapanga kufa pamoja na mke wake na anampenda sana. Pia akasema wazi ndiye aliyetoa bikira yake.Huyu mwamba alikufa yeye na mke wake kwenye ajali ya ndege huko Bahamas 2014.
Ndege iligonga crane kwenye eneo la maegesho ya meli wakati inatua.
Sidhani kwamba hicho kifo kilikuwa na mkono wa mtu.
NimekusomaUkipata muda mtafute pastor mmoja anaitwa MENSA OTABIL...utakuja kunishukuru ingawa Monroe ni sayari nyingine
Sehemu nyingine alisema kwamba alishaomboleza kifo chake. Alishaomnoleza kifo cha mkewe pia, so kikitokea katika uhalisia hatakuwa na muda wa majonzi. Hata akifa yeye hataki kuona watu wamevaa mavazi ya kuomboleza au wakiliaTanzania ni moja kati ya nchi zenye neema ya kipekee sana kwa
Jamaa alisema wazi anapanga kufa pamoja na mke wake na anampenda sana. Pia akasema wazi ndiye aliyetoa bikira yake.
Huyu si ndio alipata ajali ya ndege na familia yake? Waligonga sijui crane huko bandarini wakati wanatuaView attachment 2588545
Kuna wakati hapa niliweka mada kuhusu huyu binadamu wa ajabu. Mtu usipomfuatilia utamwona wa kawaida sana, ila ukianza kumsikiliza utagundua ana mambo mengi. Dr. Myles hata alipokuja Tanzania nilibaki kumsikia tu na kuona mabango yake na kupotezea. Nillipokuja kuanza kumfuatilia youtube na vitabu vyake ndio nikaona kwa kweli niko shallow sana kidunia na kiroho. Sijajua watu kama hawa wanapataje ufunuo mkubwa hivi.
Mada ambayo sikujua iliishia wapi nilijaribu kuuliza ilikuwaje akafa? Kweli kifo chake kilikuwa ni wito wa Mungu au ni matakwa ya binadamu? Kuna watu hujiulizi mara mbili kuwasikiliza na kuwafuatilia. Apumzike kwa amani
Nilikutana nae gate la mlima KilimanjaroDaaaaa nakumbuka Kifo chake ni Miezi michache tu tangu alipokuja na kuondoka Tanzania.
Daaaaa nakumbuka Kifo chake ni Miezi michache tu tangu alipokuja na kuondoka Tanzania.
Sehemu nyingine alisema kwamba alishaomboleza kifo chake. Alishaomnoleza kifo cha mkewe pia, so kikitokea katika uhalisia hatakuwa na muda wa majonzi. Hata akifa yeye hataki kuona watu wamevaa mavazi ya kuomboleza au wakilia