Dr Mzizimkavu alinipa tiba ya koo langu lililoshambuliwa vibaya na wadudu wakali

Dr Mzizimkavu alinipa tiba ya koo langu lililoshambuliwa vibaya na wadudu wakali

Majigo

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
5,519
Reaction score
1,828
Yote ni Matokeo ya tabia yangu ya kupenda rambaramba..mwishowe nikaangukia balaa... koo langu likawa ambushed hata kuarestiwa na wale wadudu
lakini nikaamua kumwambia Dk wangu MziziMkavu, nae bila kinyongo akanielekeza tiba mbadala
mpaka sasa sina wasi tena na wadudu wakali, naramba kila kitengo ninachotaka...maana dawa naijua
shukrani za dhati zimwangukie Dk huyu
Mungu ampe heri na maisha marefu, amina
 
Last edited by a moderator:

Hongera acha mambo ya kuramba ramba Afya ni kitu muhimu sana mkuu. Asante kwa feedback zako.
 
Nimekumbuka ile mada yako ya koo. MziziMkavu amekuwa msaada sana kwa wengi humu, ingawa katika ile mada kuna mtu alimshambulia sana.
 
Last edited by a moderator:
.............
mpaka sasa sina wasi tena na wadudu wakali, naramba kila kitengo ninachotaka...maana dawa naijua

We ndugu ni balaa, unanithibitishia kwamba, kama kungekuwa na dawa ya ukimwi, basi ngono zingekuwa nje nje iwe mchana au usiku, yaani zaidi ya Sodoma na Gomora.
 
Nimekumbuka ile mada yako ya koo. MziziMkavu amekuwa msaada sana kwa wengi humu, ingawa katika ile mada kuna mtu alimshambulia sana.

ni kweli kabisa mkuu, baadhi yetu humu ndani tuna roho zenye kutu, msaada tunaompa mwenye tatizo ni kumbeza basi
 
Last edited by a moderator:
We ndugu ni balaa, unanithibitishia kwamba, kama kungekuwa na dawa ya ukimwi, basi ngono zingekuwa nje nje iwe mchana au usiku, yaani zaidi ya Sodoma na Gomora.

teh teh teh mkuu sina wasiwasi kuhusu ukimwi, navutavuta ka mda naenda kupima nikiwa na tabasam lenye bashasha...maana Dkt wangu MziziMkavu aliniambia anayo dawa ya ukimwi
maisha sasa yamekosa stress
 
Last edited by a moderator:
teh teh teh mkuu sina wasiwasi kuhusu ukimwi, navutavuta ka mda naenda kupima nikiwa na tabasam lenye bashasha...maana Dkt wangu MziziMkavu aliniambia anayo dawa ya ukimwi
maisha sasa yamekosa stress
Watu wameshindwa kuyaamini makanisa (MUNGU) sembuse MZIZI MKAVU? au wewe binadamu unawachukuliaje au unataka siku umpige mawe?
 
Watu wameshindwa kuyaamini makanisa (MUNGU) sembuse MZIZI MKAVU? au wewe binadamu unawachukuliaje au unataka siku umpige mawe?
Mkuu DZUDZUKU Makanisa na Misikiti ni Sehemu za

Waumini kufanyia mambo ya Ibada sio sehemu za kwenda kujitibia. Wachungaji wamepata advantage kuwatapeli na

kuwaibia Waumini kwa kisingizio cha kumtaja Bwana YESU kuwa anatibu maradhi yote ni uongo na kiini macho watu

wakiumwa bora waende Hospitali kujitibia kuliko kwenda kwa Wachungaji wanaowa tapeli waumini kwa kusema wana

uwezo wa kuponya wameupata wapi huo uwezo? Makanisani na Misikitini ni nyumba za kufanyia Watu ibada sio nyumba za kuwatibia

watu wagonjwa acha maneno yako ya Pumba hayo mimi nimempa Ushauri na akapona na aliye mponyesha ni Mwenyeezi

Mungu sio mimi, mimi ni Sababu ya kupona kwake.

Allah Has Not Revealed A Disease Without Treatment.... (Prevention is Better Than Cure)
 
MziziMkavu
Heshima Mkuu.
Kuna mwanagu anasumbuliwa na kikwapa kikali,akirudi jioni toka shule harufu huwa kali sana,nimemnunulia deodrant amekataa kuitumia anasema inamchubua,kuna mtu alimshauri atumie limau kusugulia kwenye kwapa nayo haija msaidia.
Naomba ushauri toka kwako.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu DZUDZUKU Makanisa na Misikiti ni Sehemu za

Waumini kufanyia mambo ya Ibada sio sehemu za kwenda kujitibia. Wachungaji wamepata advantage kuwatapeli na

kuwaibia Waumini kwa kisingizio cha kumtaja Bwana YESU kuwa anatibu maradhi yote ni uongo na kiini macho watu

wakiumwa bora waende Hospitali kujitibia kuliko kwenda kwa Wachungaji wanaowa tapeli waumini kwa kusema wana

uwezo wa kuponya wameupata wapi huo uwezo? Makanisani na Misikitini ni nyumba za kufanyia Watu ibada sio nyumba za kuwatibia

watu wagonjwa acha maneno yako ya Pumba hayo mimi nimempa Ushauri na akapona na aliye mponyesha ni Mwenyeezi

Mungu sio mimi, mimi ni Sababu ya kupona kwake.

Allah Has Not Revealed A Disease Without Treatment.... (Prevention is Better Than Cure)

Mzizi hebu turudi kule kwenye riwaya yetu bwana. Achana na huyu mzushi
 
Kwakweli Dr.MziziMkavu ashukuriwe sana,amesaidia wengi sana humu JF mimi mmojawapo,halafu cha ajabu hakudai hata mia.Ni watu wachache wenye moyo kama wake,Mungu akubariki na akuzidishie moyo wa kusaidia watu!
 
Ulikuwa unaramba ramba niniii mkuu
Alikuwa ana ramba utupu wa mwanamke ndio akapata maradhi ya koo kuwa na vidonda vya kooni na angelichelewa angepata Kansa ya koo..

KUMNYONYA MWANAMKE AU MWANAUME AU KUFANYA MAPENZI MDOMONI HUSABABISHA KANSA YA KOO

Kuna wakati mtu anaweza kuweka hadharani siri yake kwa nia njema ya kuokoa maisha ya watu wengine watokana na ushuhuda wake, na hii ni kwa kuwa watu wengi huwa wagumu wa kubadilika hadi waone mfano hai ama mtu aliyeathirika kutokana na tabia flani akitoa ushahidi.

Muigizaji mkongwe mwenye umri wa miaka 68 Mmarekani Michael Douglas ameweka wazi kuwa tatizo lake

la kansa ya koo lilisababishwa na tabia yake ya kufanya mapenzi mdomoni(oral Sex)

Nguli huyo wa filamu alifunguka alipofanyiwa mahojiano na gazeti la The Guardian la marekani ambapo alikanusha tetesi ambazo wengi walikuwa wanaziamini kuwa uvutaji wa sigara na ulevi ndio uliosababisha yeye kupata kansa ya koo.

Alisema ugonjwa alionao umetokana na maambukizi ya virusi vinavyojulikana kama

Human papolloma Virus (HPV)
ambavyo vinasababisha magonjwa ya zinaa.

Douglas aligundua kuwa na kansa ya koo august 210, na akaanza kufuata matibabu ambapo alipitia hatua nne, lakini pia akapitia matibabu ya kina (intensive course of chemotherapy and radiation), na kufikia january 2011 alikuwa ameweza kwa kiasi kikubwa kupambana na maradhi hayo.

Angalizo:
Tulikuwa tunasubiri mfano, na huu ni mfano hai unaothibitisha kuwa penzi la mdomoni na kunyonyana nyeti zetu ni hatari kiafya kwa kuwa husababisha kansa ya koo ....

Kuna njia nyingi za kuandaana kabla ya tendo.Hivyo si lazima tukatumia mdomo.

chanzo.
Michael Douglas: oral sex caused my cancer | Film | The Guardian
 
Attachments

  • garlic.jpg
    garlic.jpg
    70.6 KB · Views: 210
Back
Top Bottom